Majaliwa: Sekta ya Utalii ilikumbwa na changamoto ya ukuaji kutokana na janga la Corona

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19

Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo

Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
 
*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!

Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.

Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?

Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Unatiwa!
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19

Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo

Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Jamani hii nayo ni habari ya kuileta huku Jf?
What's new?
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19

Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo

Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Majaliwa aondolewe mara moja hafai!
 
1618316481011.jpeg

Majaliwa tokea adanganye uma wa Watanzania kuwa Magufuli ni mzima wa Afya na anachapa kazi hana credibility tena ya kuwaambia uma wa Watanzania lolote lile.He is a hopeless liar!
 
Kuna mwanasiasa asiye muongo?
 
Kuna mwanasiasa asiye muongo?
Wanasiasa kuwa waongo haihalalishi waziri mkuu kudanganya uma wala haifanyi suala la waziri mkuu kudanganya uma liwe ni suala safi,lisilokuwa na shida na suala la kuunga mkono.Waziri mkuu kudanganya uma ni suala la kulaaniwa na kila mtu.
 
Si suala la kuhalalisha bali hivyo ndivyo wanasiasa wote walivyo huwezi kuwatenganisha na uongo, hata huyo Mama Samia nae wote walitudanganya kwenye suala hili.
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19

Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo

Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

Hawa ndio watakaompoteza Mh SSH ,hawa bado wana maluweluwe ya MEKO ,wakienda tofauti wataonekana wajinga hivyo wataenda na SERA mbovu zile zile za MEKO...Mama awe makini sana na watu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom