Huyu mzee mi simwamini hata kidogoMajaliwa tokea adanganye uma wa Watanzania kuwa Magufuli ni mzima wa Afya na anachapa kazi hana credibility tena ya kuwaambia uma wa Watanzania lolote lile.He is a hopeless liar!
Alishapoteza credibility yote na anapaswa aachie kiti alichokalia.He is a hopeless liar!Huyu mzee mi simwamini hata kidogo
Tuna takiwa kuandama kuwakataa wa wapuuziAlishapoteza credibility yote na anapaswa aachie kiti alichokalia.He is a hopeless liar!
Nachoweza mwamini akiniambia anapaka ile dawa nyeusi kwenye nywele.Huyu mzee mi simwamini hata kidogo
Hicho ndiyo anaweza na kuchukua vidoshoNachoweza mwamini akiniambia anapaka ile dawa nyeusi kwenye nywele.
Unatiwa!*TUHUMA ZA MBOWE ZINAACHA MASWALI MENGI.
*
Mbowe kabla hata ya kujisafisha na uongo wake wa kulewa na kuangushwa na konyagi nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya kisha kulitangazia taifa kwamba amepigwa na wasiojulikana, amekuja na igizo jingine kwamba alifilisiwa na akaunti zake zote zilifungwa na TRA!!
Kama ni kweli alikuwa wapi kuyasema haya? Badala yake akawa anaitisha press conference akiwa amevaa gloves feki huku akiwa amejifungia kwenye lockdown hewa.
Ina maana Mbowe alikuwa tayari kuita waandishi wa habari na kuwaelezea alivyokimbia bunge na kwenda lockdown uchwara kuliko kuwaelezea alivyofungiwa akaunti zake zote ikiwemo ya mshahara?
Mbowe hili ni taifa la watu wanaojitambua na kamwe hutafanikiwa kwenye hiyo biashara yako mpya uliyokula 10% ili ulete chanjo ya corona nchini.
Jamani hii nayo ni habari ya kuileta huku Jf?Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19
Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo
Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Majaliwa aondolewe mara moja hafai!Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19
Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo
Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Majaliwa tokea adanganye uma wa Watanzania kuwa Magufuli ni mzima wa Afya na anachapa kazi hana credibility tena ya kuwaambia uma wa Watanzania lolote lile.He is a hopeless liar!
Kuna mwanasiasa asiye muongo?Majaliwa tokea adanganye uma wa Watanzania kuwa Magufuli ni mzima wa Afya na anachapa kazi hana credibility tena ya kuwaambia uma wa Watanzania lolote lile.He is a hopeless liar!
Wanasiasa kuwa waongo haihalalishi waziri mkuu kudanganya uma wala haifanyi suala la waziri mkuu kudanganya uma liwe ni suala safi,lisilokuwa na shida na suala la kuunga mkono.Waziri mkuu kudanganya uma ni suala la kulaaniwa na kila mtu.Kuna mwanasiasa asiye muongo?
Yeye na Rais wake Mama Samia.Alishapoteza credibility yote na anapaswa aachie kiti alichokalia.He is a hopeless liar!
Si suala la kuhalalisha bali hivyo ndivyo wanasiasa wote walivyo huwezi kuwatenganisha na uongo, hata huyo Mama Samia nae wote walitudanganya kwenye suala hili.Wanasiasa kuwa waongo haihalalishi waziri mkuu kudanganya uma wala haifanyi suala la waziri mkuu kudanganya uma liwe ni suala safi,lisilokuwa na shida na suala la kuunga mkono.Waziri mkuu kudanganya uma ni suala la kulaaniwa na kila mtu.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19
Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha safari za ndege na kuwafungia watu ndani. Amesema hatua hizo zilichangia kutokua vizuri kwa sekta hiyo
Majaliwa amesema hayo leo Bungeni Dodoma wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu