mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Mayanga unamjua?Wale mashabiki wa lisu njooni hapa urais ujaribiwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayanga unamjua?Wale mashabiki wa lisu njooni hapa urais ujaribiwi.
Hata siku moja. Umaskini ni shida sana. Unaweza kuona mtu anavaa suti, viingereza vingi, kumbe shida yake nafasi ya kupata ubwabwa na kutupelekea bahari Dodoma
Ni kiongozi gani hataki ubwabwa? Nitajie mmoja tu.
Hivi kweli usaili ungeitishwa kwa kuzingatia wasifu wa mtu, hivi kweli PM angaliweza kuaminika na kupewa nafasi hiyo! Uongozi hujaribiwa ili kuvumbua vipaji vipya, na hii ndiyo maana kubwa ya ubunifu.
Washapanic tayari uuuuwiiiiiiii
Tayari wakuuu
Watanzania tulilifanya hilo KOSA la kuchagua Viongozi kwa MAJARIBIO mwaka 2015,Mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya taifa ya Chama cha mapinduzi (CCM), na waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Singida kutafakari aina ya kiongozi wanayemtaka aiongoze Tanzania....
Huyu tangu apewe ubunge wa viti maalumu nimemshusha thamaniMjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya taifa ya Chama cha mapinduzi (CCM), na waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Singida kutafakari aina ya kiongozi wanayemtaka aiongoze Tanzania...
Kirikuu chenyewe kinampeleka mzobe mzobe hatari. Mara kaishiwe mafuta, mara kapige donation mtihani mtupu.Lissu namfananisha na dereva wa Kirikuu anayeomba kazi ya kuendesha semi trailer!