Majambazi na wezi si rahisi kujitawala ila vyombo vya dora vinaweza kujitawala na kujikataa kuwa sio wahusika

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hakuna mtu mjinga hata kompyuta iwezi kudanganywa kuwa ijahusika wakati ndio inatenda.

Hapa tanzania kama unafanya ujambazi au wizi uwezi kufanya kama yanayo fanywa mfano uwezi kusimamisha basi ukachukua mtu tena sio porini ni jiji kubwa alafu gari mnazotumia ndio hizo hizo mnazotamba nazo kutishia watu kwenye misafara na vyombo vyenu.

Hakuna jambazi wala mwizi mwenye mtaji wa kumiliki bunduki zilizo safi maana azifichwi dalini wala shimoni.

Hakuna jambazi wala mwizi mwenye uwezo wa kukimbiza gari kupita mikoa yote wala hasisimamishwe.

Hakuna jambazi wala mwizi anaweza kufika kituoni na kwenda kumtupa mtu au kuua mahari popote.

Kwa kuwa jambazi na mwizi wanajificha hawezi kudeal na watu walio wapinga watawala maana wao ni kutafuta pesa na kuondoka.

Sasa jambazi na mwizi ni nani.
 
simulizi yako inaendelea au ndio imeishia hapo gentleman?

hongera kwa ubunifu 🐒
 
Ushamaliza kupika maana ukarupuka kujiandaa na mada zenu
 
simulizi yako inaendelea au ndio imeishia hapo gentleman?

hongera kwa ubunifu 🐒
Mama atajikuta anaogopa hata kutoka inje Ikulu,leo ameshindwa kwenda Tabora kwa jinsi anavyopenda umaarufu
 
Back
Top Bottom