Majambazi wamerudi upya, sasa hivi wananyonga hawaulizi

Umeuliza swali zuri sana, keep it up.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa mwendazake ujambazi ulikuwepo sana sema.ilikuwa Ni mwiko vyombo vya habari kuripoti
 
Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
Mkuu chadema siku zote vichwa vyao ni empty
 
Sina nyongeza! Umemaliza kila kitu.
 
Ni hilo lilikua jukumu lakekuhakikisha polisi wanafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake. Angefanya marekebisho ya sheria kuongeza weledi kwenye jeshi letu.
Mifumo haifanyi kazi Tanzania hata ubadalishe sheria mara elfu kumi. Sababu ni moja tu, mfumo ni watu na watanzania siyo wafuata sheria. Simple.
 
jeiiiiiiiiiiiiiiii kehiiiiiiiii tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hao
 
Itakuwa miongoni mwa wale 854 labuda.
 
Mkuu wewe mbona ni mgumu kuelewa 1,2,3,4,5 na sasa 6 weka na mkoloni mwingereza wote lengo lao ni kuwahudumia watanzania
 
Inabidi tumlaumu magufuli yeye kama kiongozi Bora alitakiwa kuandaa system ambayo itafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake maana siku za mwanadamu duniani ni chache zinahesabika.
System yake ndiyo iyo aliyowaambia viongozi wa idara za polisi wawanyang'anye siraha majambazi na hataki kusikia sijui jambazi so, from alipoondoka kwa nini system hiyo isiendelee bali wameona aliyepo si wa system ile, wamegeuka.
 
Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.

Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
Kama JPM alikuwa rais wa hovyo, JK je😜?
 
Aaaah ujambazi umerudi Kwa Kasi Sana ya hatari Sana j4 kama saa 11 asubuhi dogo 1 wa mtaani kwetu akiwa na bodaboda anashusha abilia kituoni jamaa wakambananisha ..sema ukigoma wake ulimsaidia alipigwa visu vya tumboni vikawa vinaishia kwenye koti,piga kisu shingoni kinadunda,wakaishia kumng'ata vidole aachie funguo akazitupa mbali.Hapo raia wamekimbia baada ya kuona soo lishakuwa kubwa wakakimbia wakaacha boda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…