Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
😂 😂 😂Ati wana uchungu jambazi mwenzao kawatoka ghafla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Ati wana uchungu jambazi mwenzao kawatoka ghafla.
Umeuliza swali zuri sana, keep it up.Nimerudi
===
Asante sana kwa bandiko lako murua.
Nina maswali kadhaa kutokana na bandiko lako hili.
1. Mfumo imara ni nini hasa? Yaani ni kitugani, jambo gani, hali gani na kiko, liko, ikoje?
2. Naomba unipe na kunifafanulia kinagaubaga tabia/desturi/tamaduni za "mfumo imara". Naomba pia katika kufafanua hili utumie mifano halisi ili kunirahisishia uelewa wa hii " mfumo imara"
===
Natanguliza shukrani kwa majibu ya maswali yangu.
Nakutakia asubuhi njema.
Nimebaki nikiwa TUJITEGEMEE.
Wakati wa mwendazake ujambazi ulikuwepo sana sema.ilikuwa Ni mwiko vyombo vya habari kuripotiMatukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Mkuu chadema siku zote vichwa vyao ni emptyHivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
Sina nyongeza! Umemaliza kila kitu.Inabidi tumlaumu magufuli yeye kama kiongozi Bora alitakiwa kuandaa system ambayo itafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake maana siku za mwanadamu duniani ni chache zinahesabika.
Watu wa maana siku zote wanaandaa mfumo ambao utajiendesha bila hata uwepo wake sio mfumo tegemezi ambao hauna ufanisi bila uwepo wake.
Alaaniwe yeyote yule amtegemeae mwanadamu.
Mifumo haifanyi kazi Tanzania hata ubadalishe sheria mara elfu kumi. Sababu ni moja tu, mfumo ni watu na watanzania siyo wafuata sheria. Simple.Ni hilo lilikua jukumu lakekuhakikisha polisi wanafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake. Angefanya marekebisho ya sheria kuongeza weledi kwenye jeshi letu.
jeiiiiiiiiiiiiiiii kehiiiiiiiii tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiihiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haoMatukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Ujambazi ulikuwepo Ila haukutangazwa na tbcJengeni mfumo nyie sasa, yeye aliweza tatua tatizo tukalisahau, hayo ya mfumo ni ya kwenu na porojo kibao, kazi sifuri.
Itakuwa miongoni mwa wale 854 labuda.Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Mkuu wewe mbona ni mgumu kuelewa 1,2,3,4,5 na sasa 6 weka na mkoloni mwingereza wote lengo lao ni kuwahudumia watanzaniaMatukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Ukiwa unafikiri kwa makalio unakuwa unawaza ushuzi tu.dawa ya majambazi ni Magufulism pekee.
System yake ndiyo iyo aliyowaambia viongozi wa idara za polisi wawanyang'anye siraha majambazi na hataki kusikia sijui jambazi so, from alipoondoka kwa nini system hiyo isiendelee bali wameona aliyepo si wa system ile, wamegeuka.Inabidi tumlaumu magufuli yeye kama kiongozi Bora alitakiwa kuandaa system ambayo itafanya kazi kwa weledi bila hata uwepo wake maana siku za mwanadamu duniani ni chache zinahesabika.
Dah...nyuma ya 2015...hiyo mifumo iliyojengwa ilitusaidiaje watanzania wa kawaida? [emoji2960]Tangu mwaka 2015 Tanzania iliongonzwa na mtu na sio mfumo au taasisi ya Rais. Yatakayotokea msishangae au kujilaumu. Tupeni laana hizo kwenye katiba bubu tuliyonayo.
Kama JPM alikuwa rais wa hovyo, JK je😜?Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.
Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.