Majambazi wasiotumia silaha

Majambazi wasiotumia silaha

anasbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
5,065
Reaction score
9,360
Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa maisha. hawa ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi hapa mjini.

Ila kiuhalisia tusilaumiwe mana unaweza telekeza chochote kabisa kwa hali kama hii

.
 
Na hawa wahivi ndio wanaotufanyaga tuseme "shetani kanipitia".. Sasa sijui huyo ndo shetani..😂😅😜

Kabisa mkuu, huyu ndio shetani mwenyewe 😂😂😂
 
Hawa ndio ukisikia pisi kali...yaani hapa napiga deki hadi kinyeo bila kulazimishwa

Mkuu huyu ukishakua nae, huhitaji kubusti mood kabisa, yeye mwenyewe ndio mood yenyewe.
 
huyu mimi naweza telekeza familia kabisa
 
Hatari sana

Kiukweli wanawake kama hawa ni wakuwakalia mbali, Ndoa nyingi zimeshavunjika kutokana na wao.
Likini mtihani mkubwa ni nafsi zawanaume zinapokutana na kama hawa zinafika kabisa, yani ukimtizama tu moyo unaanza kwisha nguvu.
hawa ni Zaidi ya mashetani
 
Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa maisha. hawa ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi hapa mjini.

Ila kiuhalisia tusilaumiwe mana unaweza telekeza chochote kabisa kwa hali kama hii

View attachment 1500837
.
Hebu acha kuwa mbinafsi na wewe, wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane hivyohivyo angalau hata kidogo ila na ninyi wanaume hebu kuweni kama wasukuma muwe mnahudumia wake zenu tena kwa upendo mkubwa alaf nje mnapiga kama kawaida hata mke akiambiwa kuhusu kuchepuka anakutetea.. Tumieni akili mmebaki wachache na lazima kugombaniwa,
 
Back
Top Bottom