Na hawa wahivi ndio wanaotufanyaga tuseme "shetani kanipitia".. Sasa sijui huyo ndo shetani..ππ π
Hawa ndio ukisikia pisi kali...yaani hapa napiga deki hadi kinyeo bila kulazimishwa
Mambo ni mengi
Muda ni mchache
Hako kamlio ndiyo anajamba au?
Hako kamlio ndiyo anajamba au?
Mkuu huyu ukishakua nae, huhitaji kubusti mood kabisa, yeye mwenyewe ndio mood yenyewe.
Na hawa wahivi ndio wanaotufanyaga tuseme "shetani kanipitia".. Sasa sijui huyo ndo shetani..ππ π
Hebu acha kuwa mbinafsi na wewe, wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane hivyohivyo angalau hata kidogo ila na ninyi wanaume hebu kuweni kama wasukuma muwe mnahudumia wake zenu tena kwa upendo mkubwa alaf nje mnapiga kama kawaida hata mke akiambiwa kuhusu kuchepuka anakutetea.. Tumieni akili mmebaki wachache na lazima kugombaniwa,Madada zangu, waume au wapenzi wenu wanakua wametulia kwenye mapenzi yenu mpaka wanapokutana na watu kama hawa, wanawake kama hawa ndio sababu ya wanaume wengi kupoteza dira kwenye mpangilio wa maisha. hawa ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi hapa mjini.
Ila kiuhalisia tusilaumiwe mana unaweza telekeza chochote kabisa kwa hali kama hii
View attachment 1500837
.