Majambazi watatu wauawa katika mashambulizi dhidi ya Askati Dar, Juni 24, 2022

Majambazi watatu wauawa katika mashambulizi dhidi ya Askati Dar, Juni 24, 2022

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
...Askari waliwasoma kuwa 'Wanataka Kuiba'??.....
 
Goba kuna duka la kuvamiwa na jambazi mwenye silaha?any way ngoja nikae kimya kwanza
Acha ujinga Bro na acha kukrem kudhani City Centre ndio kwenye maduka yenye Pesa,huko Goba,Madale nk kuna Vituo vya Mafuta,Ofisi za Miamala ya Kifedha yenye mitaji mikubwa na Maduka mengi mfano ya Vinywaji vya Jumla,Super Markets nk ambayo yana mzunguko mkubwa sana wa pesa
 
Back
Top Bottom