Taarifa kutoka Jeshi la Polisi ni kuwa Majambazi watatu wameuawa baada ya kupambana na askari wa jeshi hilo wakiwa katika harakati za kutaka kupora katika duka eneo la Goba Jijini Dar es Salaam, leo Juni 24, 2022.
Acha ujinga Bro na acha kukrem kudhani City Centre ndio kwenye maduka yenye Pesa,huko Goba,Madale nk kuna Vituo vya Mafuta,Ofisi za Miamala ya Kifedha yenye mitaji mikubwa na Maduka mengi mfano ya Vinywaji vya Jumla,Super Markets nk ambayo yana mzunguko mkubwa sana wa pesa