Majambazi wavamia nyumba ya Q Chillah, waiba vitu vya zaidi ya milioni 2

Maplazma,music system,laptop, vifaa vya mazoezi nilitegmea thamani iwe zaidi ya 'tatu point something au mbili point something'.
 
pole. wale wenzio waliotoa tamko juzi juzi watakuchangia
 
Vibaka hao... majambazi hawaibi vitu siku hz au kuvamia nyumba ya mtu kuiba TV, Radio na Laptop.. vibaka wa uswahilini hao...
 
Mhhhhh Hivyo vitu walivyoiba vina thamani ya two point kadhaa au ni fourth End?

1.Laptop
2.Plasma
3.Music system
4.Vifaa vya gym

Yaani vyote vinarange 2 point kadhaa? AU ni Vya HUJINTAO?
 
Kama hao wabeba mapanga ni "majambazi", basi yale ya Kibiti tunaweza kuyaita Navy SEALs. Pole yake lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…