Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Kwa desturi ya wabongo hiyo thamani gawanya mara kumi ndo kiasi halisi ya wizi uliotokea.Hao ni vibaka sio majambazi. Yani unaamini kuna jambazi karne hii anaiba tv au furniture?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa desturi ya wabongo hiyo thamani gawanya mara kumi ndo kiasi halisi ya wizi uliotokea.Hao ni vibaka sio majambazi. Yani unaamini kuna jambazi karne hii anaiba tv au furniture?
Maplazma,music system,laptop, vifaa vya mazoezi nilitegmea thamani iwe zaidi ya 'tatu point something au mbili point something'.“Pale sebuleni mavitu mengine yote wamepita nayo na gym ya nondo ilikuwa tulichukua Mlimani kwa sababu ya exercise,” ameongeza.
“Wamepiga maplazma, wamepiga music system yangu nimetoka nayo South Africa, wamepiga laptop ambayo tayari mimi nilikuwa naangalia nafasi ya kujipanga na connection zangu.
Wamepiga piga hivi kama tatu point something au mbili point something wamepiga,” aliongeza.
Pengine ni majambazi wanaochipukiaAseme vibaka sio MAJAMBAZI.
labda ni vibaka wazoefuPengine ni majambazi wanaochipukia
Mhhhhh Hivyo vitu walivyoiba vina thamani ya two point kadhaa au ni fourth End?![]()
Q Chila amethibitisha nyumba yake kuvamiwa na majambazi na wamefanikiwa kuiba baadhi ya vitu vilivyomo ndani ikiwemo laptop iliyokuwa na baadhi ya colabo zake.
Akiongea na Clouds FM, muimbaji huyo amedai kuwa thamani ya vitu vyake vilivyoibiwa ni kama milioni mbili au tatu.
“Watumishi wa shetani wameamua kufanya kitu cha kihistoria, siku zote wanarukaruka mmoja wawili tunapigiza nao kelele wanaondoka lakini this time wamekuja watu kama sita, saba au nane.
Wamekuja na mapanga, wamekuja na mafokolisti yale ya kufungua, wamekuja na gari moja nje sasa sijui walikuwa wanataka kubeba kila kitu?,” ameuliza Q Chila.
“Pale sebuleni mavitu mengine yote wamepita nayo na gym ya nondo ilikuwa tulichukua Mlimani kwa sababu ya exercise,” ameongeza.