Majambazi yavamia kituoa cha mafuta Magomeni

Binti Maringo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
2,804
Reaction score
96
KUNDI LA MAJAMBAZI MUDA MFUPI ULIOPITA YAMEVAMIA SHELI YA TOTAL ILIYOKO MAKUTANO YA BARABARA YA MOROGORO RODI NA KAWAWA RODI NA KUPORA KIASI KIKUBWA CHA PESA.
MMILIKI WA KITUO HICHO, GEORGE KRITSOS, AMBAYE PIA NI MWENYEKITI WA ZAMANI WA KLABU YA GYMKHANA, AMEJERUHIWA VIBAYA BAADA YA KUPIGWA RISASI UBAVUNI, NA AMEKIMBIZWA HOSPITALI KWA MATIBABU.
HABARI ZAIDI ZITALETWA PINDI ZIKIPATIKANA. POLISI WANAFANYA UPEPELEZI WA NGUVU KUYASAKA MAJAMBAZI HAYO AMBAYO KWA MUDA MREFU KIASI MATUKIO KAMA HAYA YALIPUNGUA.

I actual saw this Tangazo kwenye michuzi and i thought i shoudl share with yall and it really touched me since i do know George Kritsos (Sharubu) personally...I am a close friend of the kritsos really close and it touched me to a point nilivyoona nikashtuka sana.Yaani it take me back in memor lane kumbuka marehemu Derek Kritsos..ooh god please i pray he gets well soon hope to hear some good nrews...Hapo kituoa cha magomeni cha mafuta kilikuwa kijiwe changu back in days when marehemu Derek used to work there...RIP dEREK AND Uncle George get well soon plese...
And actual this is second this hicho kituo kuvamia first was a while back...
 
Pole sana Kelly,

I passingly knew of the Kristos, nilikuwa namuona yule Mzee anahangaika kwenye m-Nissan Patrol daily, networking and all that.

I hope he get well soon.
 
Ooh yeah Pundit with his Nissan Patrol ya Rangi ya Gray hivi...Duuh sharubu like is ee him the way he talks he is a serious man very hard to approach him but very very nice indeed.
 


Kinachonishangaza ni eneo la tukio kuwa kama dk 10 hadi kituo cha Polisi cha Magomeni, na kwa muda huo Trafiki polisi huwa hapo njia panda lakini iliwachukua Poilisi saa nzima kufika eneo la tukio!
 
FROM UNKNOWN SOURCE




--------------------------------------------------------------------------------


According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.

According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, Muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!

Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.

Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.

Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.

....More Dataz to Come Soon....
 
Kinachonishangaza ni eneo la tukio kuwa kama dk 10 hadi kituo cha Polisi cha Magomeni, na kwa muda huo Trafiki polisi huwa hapo njia panda lakini iliwachukua Poilisi saa nzima kufika eneo la tukio!



...Mkuu, wala sio mwendo wa Dakika 10! ni dakika zisizozidi tano na pia kuna askari wanaolinda Benk ya NMB dakika zisizozidi tatu kutoka pale na Pia nyuma ya kituo kile cha mafuta kuna askari wanalinda Bank ya Dar Es Salaam Comunity Bank mwendo usiozidi dakika mbili na pia kama ulivyosema, pale full time pana askari wa barabara mbali na kwamba muda kama ule panakuwepo na foleni, lakini jamaa wamesevu!!! makes you wonder, eh??
 
Huo lazima utakuwa ni ujambazi uiosukwa ukasukika ... swali je wameiba humo shelini au maana ninasikia habari tofauti kuwa walikuwa wanamfuatilia mtu aliyekuwa na pesa garini na walichoiba ni hilo gari lenye pesa sasa je hao walopigwa risasi ndo wenye gari au? sijaelewa please nielewesheni.

Poleni sana kwa yaliowasibu
 
....INAVYOSEMEKANA... kituoni kulikuwa na hela ya siku tatu haijapelekwa Bank kutokana na mfululizo wa Sikukuu. Siku wanaamua kuzipeleka Bank ndiyo yakatokea hayo. Makes you wonder, eh??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…