Kweli kuna haja ya kufanya reforms kwenye elimu yetu. Mleta uzi inaonesha msomi sasa anacho andika hata hakilengi kumshawishi mtu kusoma na kutafakari. Sijui alikuwa anawahi foleni ya maji. Hembu rudi ufunguke chuo kiko wapi, cha umma au binafsi? Tatizo nini na limeanza lini? Mmelishughulikiaje? Mmepewa majawabu gani?