Majanga kwa wadau wote wa Telexfree, yafungwa rasmi kimataifa!

Majanga kwa wadau wote wa Telexfree, yafungwa rasmi kimataifa!

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Hatimaye mtandao maarufu wa upatu (ponzi/pyramid scheme) wa TelexFree umefungwa rasmi mapema leo. Sasa ni kilio kwa wote waliotupa pesa zao na kutegemea kuvuna mamilioni ya dolari.

Ufuatao ndio ujumbe kutoka website yao ambayo inashikiliwa na Federal State of Nevada, USA kwa hatua za kisheria zaidi. Poleni wote mlioliwa hela zenu na mjifunze hakuna njia ya mkato kupata utajiri duniani!!!!!!!!!!! :crying::crying::crying::crying:

Important Information for TelexFREE Promoters and Customers

I was recently appointed the Interim CEO of TelexFREE by Jim Merrill and Carlos Wanzeler to lead TelexFREE through its next phase of development. To achieve our goal of strengthening TelexFREE, addressing our liabilities, and building a financially sound foundation with long-term prospects, today we have filed a petition for relief under Chapter 11 of the U.S. Bankruptcy Code in the United States Bankruptcy Court for the District of Nevada.For those of you not familiar with U.S. Chapter 11 laws, Chapter 11 is a legal process that can help the company reorganize and restructure its debts while continuing to manage and operate its business on a day-to-day basis. Chapter 11 gives TelexFREE and our management team the opportunity to strengthen our financial structure and overall operations,. We are taking this major step, because we continue to firmly believe in our business, our product and the enthusiasm of our global independent sales associates despite the challenges facing us.

In the meantime, we expect our business will continue to operate, and we will strive to support our sales associates and customers with new products and improved services, including VoIP services that we are expanding to reach over 70 countries.We expect that this will be a seamless transition for our customers around the world.Even though we need to make some difficult decisions about the structure of our compensation plans, the product and the value we offer our customers-not to mention the outstanding entrepreneurial opportunities we provide our dedicated teams of Independent Sales Associates-it means that we believe this company continues to have a bright future.

How does Chapter 11 help us do all that? It gives TelexFREE an opportunity to address our claims and get our feet firmly planted with a solid organizational and financial foundationWe are committed to providing our customers the finest communications products and services available anywhere in the world and our Promoters the opportunity to achieve a profitable future.To that end, as a company we know we can do even better! We intend to use the Chapter 11 process to put the systems and controls in place to provide you the support you need to build your sales business. Once we have implemented our anticipated restructuring, we intend for you to be better informed, better supported, and to have a better knowledge of the TelexFREE strategy as we move forward together.

During this Chapter 11 process, we anticipate regularly communicating with you about TelexFREE and our organizational efforts,During this time of transition, we have professionals to support you in responding to the media. If you are approached by anyone for quotes or answers, direct them to
media@telexfree.com. They will have their inquiry answered within 24 hours.I am confident that with the loyalty of our customers and Independent Sales Associates, we are becoming stronger than ever!

Sincerely,

Stuart A. MacMillan
Interim Chief Executive Officer

telexfree_small.png

Source: telexfree
 
Mkuu President Elect

Mkuu ingawa mimi napenda sana hii issue ifungwe haraka ili isiendelee kuumiza watu.., ila habari uliyoweka haisemi kwamba imefungwa.., Heading yako inapotosha.., kwahio watu wanaendelea kuibiwa, (ingawa ni kweli Brazili ilishafungiwa na Marekani ipo under investigation) habari yako inachosema wanataka ku-file bankruptcy (na hii huwa ni janja ya watu wasifilisiwe wenyewe bali mali za kampuni ziuzwe ili kuwalipa baadhi ya watu..., (huenda kujilipa wao wenyewe) )

Kwa ushauri ambao hawaaweka pesa zao wasiweke, sababu hii ni kamali kuna kupata na kukosa, huenda wewe ukaweka leo kesho ndio ikafungiwa, na wale wanaodai hakikisha mshiko wako unaupata ASAP
 
natamani na kamari maarufu ya kubeti aka kutandika mkeka nayo ifungweeeeeeeeee
 
Mkuu President Elect

Mkuu ingawa mimi napenda sana hii issue ifungwe haraka ili isiendelee kuumiza watu.., ila habari uliyoweka haisemi kwamba imefungwa.., Heading yako inapotosha.., kwahio watu wanaendelea kuibiwa, (ingawa ni kweli Brazili ilishafungiwa na Marekani ipo under investigation) habari yako inachosema wanataka ku-file bankruptcy (na hii huwa ni janja ya watu wasifilisiwe wenyewe bali mali za kampuni ziuzwe ili kuwalipa baadhi ya watu..., (huenda kujilipa wao wenyewe) )

Kwa ushauri ambao hawaaweka pesa zao wasiweke, sababu hii ni kamali kuna kupata na kukosa, huenda wewe ukaweka leo kesho ndio ikafungiwa, na wale wanaodai hakikisha mshiko wako unaupata ASAP

Uko sahihi.......kwa wale wanaotumia mtandao wa TelexFree watakuwa wameshaipata hii breaking news, mtandao umegomaaaaaaa........ = ....... wameliwaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
TelexFree Files for Bankruptcy in the US

Posted by: Albert Mucunguzi in News 1 hour ago 1 Comments

As debate over the legitimate of TelexFree as a source of income rages on, Court papers indicate that the company has recently filed for Bankruptcy in the United States.
"On April 13, 2014, each of the Debtors listed below filed a voluntary petition for relief under Chapter 11 of the United States Bankruptcy Code (the "Bankruptcy Code"). The cases (collectively, the "Bankruptcy Cases") are pending Joint Administration under Case No. 14-12524. The Bankruptcy Cases are pending before the United States Bankruptcy Court for the District of Nevada," reads a statement published online.

"Pursuant to the Bankruptcy Code (specifically including, but not limited to, 11 U.S.C. § 362), a debtor is afforded certain protection against its creditors; the Bankruptcy Code prohibits creditors from taking certain actions related to debts that may have been owing prior to the commencement of the Bankruptcy Cases. If you believe that you might be a creditor of the Debtor(s) based upon debts arising prior to April 13, 2014, and you are considering taking action based upon your status as a creditor, you may wish to seek legal advice. The staff of the Clerk of the Bankruptcy Court and the staff of Kurtzman Carson Consultants LLC are not permitted to give legal advice," the statement further reads.
See full statement here.
[/COLOR]
 
Afadhali, wizi tu.

Maskin rafiki yangu niimwambia akusikia

Wakuu mbona huu wizi bado unaendelea Tanzania na nchi nyingine (labda kasoro Rwanda, Brazil na huko Marekani wapo under investigation) hio habari haisemi kufungwa kwa Telexfree bali ni ku-file for bankruptcy na Telexfree America hata ikifa wizi unaweza kuendelea pengine, kama ilivyokufungiwa Brazil (ilipoanzia) lakini pengine ikawa ikaendelea
 
Maskin rafiki yangu niimwambia akusikia

sikio la kufa.....Mstaafu mmoja 'alibet' humo ndani ya shimo la telexfree tsh.15M bahati yake karudisha japo hizo 6M, albaki yote kwishneee! anajuuuta, bora angejenga banda la vyumba3 akapangisha!!!
 
sikio la kufa.....Mstaafu mmoja 'alibet' humo ndani ya shimo la telexfree tsh.15M bahati yake karudisha japo hizo 6M, albaki yote kwishneee! anajuuuta, bora angejenga banda la vyumba3 akapangisha!!!

Mkuu unajua unachokosea hii kitu ni Pyramid Scheme kama ilivyokuwa Desi; Desi ya Kenya ilivyokufa ya Tanzania iliendelea kuibia watu, hivyo basi narudia hii habari yako ni kweli kwamba telexfree Tanzania watu hawaendelei ? (Sikatai kwamba soon or later pia itakufa) ila je sasa hivi imekufa
 
Wakuu mbona huu wizi bado unaendelea Tanzania na nchi nyingine (labda kasoro Rwanda, Brazil na huko Marekani wapo under investigation) hio habari haisemi kufungwa kwa Telexfree bali ni ku-file for bankruptcy na Telexfree America hata ikifa wizi unaweza kuendelea pengine, kama ilivyokufungiwa Brazil (ilipoanzia) lakini pengine ikawa ikaendelea

ndugu yangu yaani tunavyoongea mida hii, mtandao wa TelexFree umedhibitiwa na Federal state of Nevada, USA! HAKUNA MALIPO YOYOTE!!!! KUANZIA JANA!!!!! we jipe moyo, but walioliwa wamshtaki nani????
 
Hivi hiyo telexfree ni nini hasa,,,,,,,,,mimi nilikuwa siijui kabisa. Ufafanuzi jappo kidogo tafadhali ilivyokuwa inafanya kazi.
 
Hivi hiyo telexfree ni nini hasa,,,,,,,,,mimi nilikuwa siijui kabisa. Ufafanuzi jappo kidogo tafadhali ilivyokuwa inafanya kazi.
leo ukiwahi kurudi nyumbani ntakudadavulia.
 
ndugu yangu yaani tunavyoongea mida hii, mtandao wa TelexFree umedhibitiwa na Federal state of Nevada, USA! HAKUNA MALIPO YOYOTE!!!! KUANZIA JANA!!!!! we jipe moyo, but walioliwa wamshtaki nani????

Mkuu hapo ndio unakosea hii kitu ilianzia Brazil ikafungiwa na watu wakalia wakaumia; ikaenda states na sehemu nyingine states ikawa under investigation na ikakatazwa kuendelea na hii shughuli (sasa imefile for bankruptcy) lakini kumbuka kwamba inaweza ikawa imeshitukiwa America (kama vile ilivyoshitukiwa Rwanda) lakini Bongo watu wakawa bado wanasajili watu, kumbuka kwamba hata vile ambavyo ingefungwa Rwanda na Marekani ikawa bado ina-operate mtu wa Rwanda asingeweza kuwadai Marekani, Hawa jamaa wajanja wanafanya kazi kama different entities nchi tofauti tofauti na kuwafungia nchi moja wanaweza bado wakaendelea kutapeli nchi nyingine
 
Back
Top Bottom