Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
 
Hongera sana Suzy, umefikisha ujumbe muhimu sana ambapo mamlaka husika zinapaswa kuuchukulia kwa uzito unao stahili. Lipa kodi kwa hiari na uminifu kwa ajili ya maendeleo ya nchi.
 
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Acheni kutoa taarifa usizokuwa na hakika nazo, Umepita vituo vingapi umeambiwa mashine mbovu?
 
Nmemuomba atutajie hivyo vituo basi?
Maana labda yeye ndy hapewagi risit
Kuna vituo vya mafuta ndani huko njia ya kwenda makabe,msakuz na wanatoa risit bila kuuombwa
Sasa yeye angevitaja hivyo vituo ambavyo havitoi risit

Ova
 
Hili hata mie nimeliona hasa vituo vya Dar! Wanasema machine mbovu ila TRA wamewaruhusu kuuza bila kutoa risiti
 
Nmemuomba atutajie hivyo vituo basi?
Maana labda yeye ndy hapewagi risit
Kuna vituo vya mafuta ndani huko njia ya kwenda makabe,msakuz na wanatoa risit bila kuuombwa
Sasa yeye angevitaja hivyo vituo ambavyo havitoi risit

Ova
Wala hata sio uongo, rainbow pale napo wanakuwaga na hizi excuse. Eti mashine mbovu. Sehemu nyingine Ni pale stand ya mbezi, eti risiti tutachana wenyewe
Ila mm hata sioni sababu ya kuwadai, naona sawa tu wanachofanya maana pesa yenyewe inaishiwa kupigwa tu
 
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Mfumo huo hawaupendi kabsa.

Mtu yule aliziba mapato haramu Kwa wengi,atasemwa sana.
 
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Wahusika bila shaka watakusoma na kuchukua hatua..

TRA Hawa vijana wenu wapya Wapya kazini Wana njaa kwa hiyo wadhibitoni.
 
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Ukijua waliopo TRA wamewekwa na nani na wauza mafuta ni akina nani basi hutsumiza kichwa kujua lengo ni nini
 
Waacheni Wafanyabiashara walambe asali,si vyema vijana kwa wazee kupingana na maagizo ya Mama!Mama alisema wafanyabiashara wasisumbuliwe,nyinyi ni nani ata mupinge kauli ya Mwenyekiti.Shubamiti....
 
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
tusiwe wepesi wa kuona kitu flani kimefanyika basi lazima kuna ulaji wa msimamizi wa sehemu hiyo .wenye magari wenyewe huwa hatupendi kuchukua risiti. inawezekana umeenda kituo bubu wewe mbona total,big bon,gapco,lake,gbp,olympic, oil,camel,oil com,oroix,puma mbona wanatoa . ingepemndeza utoe majina ya vituo kuliko sema ulaji wa watu. kama unakisa na mwenye kituo au tra walikunyoosha sema hivo.
 
Back
Top Bottom