Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

Majanga: TRA wanashirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta kuhujumu kodi kupitia risti?!

Nmemuomba atutajie hivyo vituo basi?
Maana labda yeye ndy hapewagi risit
Kuna vituo vya mafuta ndani huko njia ya kwenda makabe,msakuz na wanatoa risit bila kuuombwa
Sasa yeye angevitaja hivyo vituo ambavyo havitoi risit

Ova
Risiti zinatoka ila madereva wanatoka bila kudai. Wahudumu wengine wanakuwa bize kufuata risiti zinakofyatuliwa. Sasa Tra wanapangaje njama labda afafanue zaidi.
 
Unataka wale wapi Mzee baba?
Unajua kuwa MSHAHARA HAUJAWAHI TOSHA?

Punguza wivu mtu akila kwa urefu wa kamba yake.

#YNWA
Wewe hufai kuwa shabiki wa Liverpool; Liverpool hatushabikii mambo ya kipuuzi na wizi kama huo. Unaliaibisha jina lako na hiyo #.
 
Risti za nini tena, wakati kodi ya mafuta inachukuliwa directly mkuu tokea yanaposhushwa.
 
Nimepita vituo 2 nimekutana na hili jambo.... Wote wanasema mashine zina changamoto.....
 
Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.

Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.

Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Kuna petro station nilikuta wana mashine ya mkono ya kutolea receipt yaani sio tena zile zilizo connectiwa na pump, tena ni Petro Station kubwa na Beand kubwa sana, nilishangaa, na wale wauzaji ni hadi ukomae ndo wakutolee
 
Hata wakitoa risiti, VAT imeandikwa 0%. Niliona nikaumia sana!!
 
mnahangaika kudai risiti utafikiri pesa zinaenda kwenu kusaidia familia mafuta yenyenyewe yapo juu weww weka mafuta na uende atoe risiti au asitoe
 
mnahangaika kudai risiti utafikiri pesa zinaenda kwenu kusaidia familia mafuta yenyenyewe yapo juu weww weka mafuta na uende atoe risiti au asitoe
Hahah

Suzy kamasi linamtoka

Ova
 
Back
Top Bottom