Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
"mtanikumbuka kwa mema" by MZVituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Hongera sana Suzy, umefikisha ujumbe muhimu sana ambapo mamlaka husika zinapaswa kuuchukulia kwa uzito unao stahili. Lipa kodi kwa hiari na uminifu kwa ajili ya maendeleo ya nchi.Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Acheni kutoa taarifa usizokuwa na hakika nazo, Umepita vituo vingapi umeambiwa mashine mbovu?Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Nmemuomba atutajie hivyo vituo basi?Acheni kutoa taarifa usizokuwa na hakika nazo, Umepita vituo vingapi umeambiwa mashine mbovu?
Hakuna haja ya kuvitaja. Hata mimi nimeambiwa hivyo kwenye vituo katikati ya Jiji. Watu wengi ambao hawataki jambo lirekebishwe au wakitaka kujitetea au kuwatetea wenzao hudai ushahidi. Kesi mbona haijaanza!?Ingependeza utoe majina ya vituo husika...
Wala hata sio uongo, rainbow pale napo wanakuwaga na hizi excuse. Eti mashine mbovu. Sehemu nyingine Ni pale stand ya mbezi, eti risiti tutachana wenyeweNmemuomba atutajie hivyo vituo basi?
Maana labda yeye ndy hapewagi risit
Kuna vituo vya mafuta ndani huko njia ya kwenda makabe,msakuz na wanatoa risit bila kuuombwa
Sasa yeye angevitaja hivyo vituo ambavyo havitoi risit
Ova
Mfumo huo hawaupendi kabsa.Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Wahusika bila shaka watakusoma na kuchukua hatua..Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
Ukijua waliopo TRA wamewekwa na nani na wauza mafuta ni akina nani basi hutsumiza kichwa kujua lengo ni niniVituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.
I never knew kwamba wewe pia ni mhujumu uchumiUnataka wale wapi Mzee baba?
Unajua kuwa MSHAHARA HAUJAWAHI TOSHA?
Punguza wivu mtu akila kwa urefu wa kamba yake.
#YNWA
tusiwe wepesi wa kuona kitu flani kimefanyika basi lazima kuna ulaji wa msimamizi wa sehemu hiyo .wenye magari wenyewe huwa hatupendi kuchukua risiti. inawezekana umeenda kituo bubu wewe mbona total,big bon,gapco,lake,gbp,olympic, oil,camel,oil com,oroix,puma mbona wanatoa . ingepemndeza utoe majina ya vituo kuliko sema ulaji wa watu. kama unakisa na mwenye kituo au tra walikunyoosha sema hivo.Vituo vingi vya mafuta havitoi tena risti za mfumo wa kielektroniki kwa kisingizio mashine ni mbovu.
Huenda huo ni ulaji mpya baina ya maafisa wa TRA kwa kushirikiana na wamiliki wa vituo vya mafuta.
Ajabu haupo ufuatiliaji mahsusi kuhusu hilo jambo.