Majanga ya asili yamekuwa mengi sana 2026, hadi naogopa

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Mvua zilizopitiliza, Radi kali, earthquakes za kutosha na ni kubwa sana, kama haitoshi, wataalam wanasema El nino inakuja ambayo ni kubwa sana na haijawahi tokea tangu miaka ya 18s. Nadhan kuna jambo kubwa zaidi tutalishuhudia huu mwaka, watakaopita salam, Good on them, watakao athirika, tuonane paradiso, all in all, May God forbid.

Kwa upande wa Califonia wanasema plates mbili zimecolide na tension ni kubwa kiasi kwamba lazima zitasababisha major breake ili kurealease tension, which is very strong earthquake.

Cha msingi ni kuwa na situational awareness, ukiona mjengo unaanza kushake, toka nje eneo la wazi, you got only one life.
 
haszu ww ndio mmoja wao kufanya majanga haya kutokea kutokana na hasira za Mungu juu wa uso wa dunia.

Mambo ya sodoma na gomora, mwanaume kujifanya mwanamke.
Kukufuru na mambo mengine mabaya

Hizo ni hasira za Mungu juu ya uso wa dunia zidi ya walimwengu

# Mungu yupo
#bila kuchoka kuamini kuwa yupo
#tumuogope MUNGU
 
Thibitisha uwepo wa Mungu!
 
Mungu hakasiriki ,majanga kama hayo ni ukumbusho tu sisi binadamu hatuna ujanja kiivyo.
 
Maeneo ya wazi yameuzwa na ccm
 
M
Mashoga wanachangia mabalaa duniani.
Wasipodhibitiwa watatuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…