Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Katika hali isiyo ya kawaida,
Majanga yameendelea kulivamia taifa la Uchina. Katika hali ya kawaida kule Uchina sasa hivi ni kipindi cha Spring ni muda ambao kikawaida kunakuwa na hali nzuri sana ya hewa, siyo joto na wala siyo baridi, maua na mimea huchanua kipindi hiki, lakini cha ajabu kuna barafu inapiga katika baadhi ya majimbo ya nchi hiyo kipindi hiki, kitu ambacho si cha kawaida.
Barafu hiyo inaharibu mazao na wakulima kwenye majimbo hayo wameonyesha hali ya kushangazwa na hali hiyo.
Ukiachilia mbali ma barafu, pia kuna ukungu mzito sana umeikumba miji ya kaskazini, Wananchi wamekuwa wakihoji kwa nini kuna hali hiyo ya ukungu mzito kama vumbi au moshi wakati hakuna viwanda vinavyozalisha kama hapo awali kumekuwa hakuna jibu maridhawa la kueleza, ukiacha hilo kumekuwa na mioto na materemko ya ardhi (landslides) yenye kusababisha uharibifu wa mali.
Kwa taarifa zaidi, Tazama video hii