Majanga yaliyonikuta jeshini

Umekua ana kwa ana na cobra na umetuambia. Ila ulichofanywa siku unatoroka eti imekua siri.

Kipi ni kigumu zaidi ya kifo? Konki Konki Konki Master
 
Sio hivyo mkuu mimi sio mjeda,ila nilipitia hayo last year baada ya kumaliza form 6
ishikilie sana elimu mdogo wangu.....

umebakiza mwaka mmoja urudi mtaani kupambana kaza buti

ila nina ombi embu tueleze ulichofanywa ulipokamatwa wakati unatoroka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…