Majanga yanawaandama majirani. Sasa ni Nairobi fly.

Aya wanaitwa NAIROBI,! vipi wana faida yoyote kwenu? au sifa za kijinga.
 
Aya wanaitwa NAIROBI,! vipi wana faida yoyote kwenu? au sifa za kijinga.
Kwetu sisi wakenya au unazungumza kuhusu kina nani, binadamu, wakazi wa Nairobi? Hakuna popote ambapo nimetaja sifa wala faida, nimeeleza tu kuhusu jina sahihi la mdudu huyo, basi. Kisayansi hakuna uhusiano wowote kati ya jina na manufaa au hasara ya kiumbe chochote kile chini ya jua. K.m. kama kirusi cha COVID-19 kingeitwa Fabulous-19 au Fantastic-19 haimaniishi kwamba kirusi hicho kingeandamana na faida badala ya hasara na madhara chungu nzima.
 
After Swarm of locusts sasa ni Swarm of narrow bee flies unajua wakenya wanashinda sana eti kila media ina report kuwa hao wadudu popularly wanajulika kama Nairobi fly wameenda extra miles mpaka ku edit wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…