Majanga yanawaandama majirani. Sasa ni Nairobi fly.

Majanga yanawaandama majirani. Sasa ni Nairobi fly.

Aya wanaitwa NAIROBI,! vipi wana faida yoyote kwenu? au sifa za kijinga.
Haitwi Narrow Bee Fly anaitwa Nairobi Fly au Paderus Eximis/Sabaeus. Nairobi Fly sio 'bee', nyuki, wa aina yeyote ile ni Rove Beetle. Jina Narrow Bee Fly hutalipata kwenye vitabu vyovyote au kwenye material yeyote kutoka kwa wataalamu na wanasayansi. Hata ukifanya search tu mitandaoni utaliona kwenye blogs tu na site za ajabu ajabu. Wanasayansi, tena sio wakenya, ndio waliibuka na jina hilo mwaka wa 1993.
 
Aya wanaitwa NAIROBI,! vipi wana faida yoyote kwenu? au sifa za kijinga.
Kwetu sisi wakenya au unazungumza kuhusu kina nani, binadamu, wakazi wa Nairobi? Hakuna popote ambapo nimetaja sifa wala faida, nimeeleza tu kuhusu jina sahihi la mdudu huyo, basi. Kisayansi hakuna uhusiano wowote kati ya jina na manufaa au hasara ya kiumbe chochote kile chini ya jua. K.m. kama kirusi cha COVID-19 kingeitwa Fabulous-19 au Fantastic-19 haimaniishi kwamba kirusi hicho kingeandamana na faida badala ya hasara na madhara chungu nzima.
 
After Swarm of locusts sasa ni Swarm of narrow bee flies unajua wakenya wanashinda sana eti kila media ina report kuwa hao wadudu popularly wanajulika kama Nairobi fly wameenda extra miles mpaka ku edit wikipedia
 
Back
Top Bottom