kedekede JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 5,313 Reaction score 7,714 Feb 3, 2018 #21 Kuna matangazo yanatisha sana hata kama ni mimi narudisha na kama nimeshauza namfuata namuambia ni mimi ila nimeviuza samahani naomba unidai.Huyu anaweza hata akawa hajaenda polisi.
Kuna matangazo yanatisha sana hata kama ni mimi narudisha na kama nimeshauza namfuata namuambia ni mimi ila nimeviuza samahani naomba unidai.Huyu anaweza hata akawa hajaenda polisi.
bandamo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,931 Reaction score 1,370 Feb 3, 2018 #22 Wakiiona karatasi yenyewe watasokotea bangi hiyo na hawarudishi kitu hao
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Feb 3, 2018 #23 Mwizi sio mtu wa kumhurumia hata kidogo, wanarudisha nyuma sana maendeleo ya mtu, umevuja jasho wao wanakuja kuiba
Mwizi sio mtu wa kumhurumia hata kidogo, wanarudisha nyuma sana maendeleo ya mtu, umevuja jasho wao wanakuja kuiba
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,073 Reaction score 858,551 Feb 3, 2018 #24 Nguvu moja said: Kweli lkn mkuu albadir mbaya sana! Click to expand... Kama ukiwa na hatia
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,073 Reaction score 858,551 Feb 3, 2018 #25 rikiboy said: Haa ha ha..watu hawaogopa alimbadilii...!! Ya lisu yenyewe haikufanya kaziii... Click to expand... Kaaazi kweli kweli
rikiboy said: Haa ha ha..watu hawaogopa alimbadilii...!! Ya lisu yenyewe haikufanya kaziii... Click to expand... Kaaazi kweli kweli
Curious gal JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 3,200 Reaction score 4,008 Feb 3, 2018 #26 Nguvu moja said: Kweli lkn mkuu albadir mbaya sana! Click to expand... Tena sana