MAJANGA!

MAJANGA!

Kuna matangazo yanatisha sana hata kama ni mimi narudisha na kama nimeshauza namfuata namuambia ni mimi ila nimeviuza samahani naomba unidai.Huyu anaweza hata akawa hajaenda polisi.
 
Wakiiona karatasi yenyewe watasokotea bangi hiyo na hawarudishi kitu hao
 
Mwizi sio mtu wa kumhurumia hata kidogo, wanarudisha nyuma sana maendeleo ya mtu, umevuja jasho wao wanakuja kuiba
 
Back
Top Bottom