Jaribu kuwa specific ni kesi zipi, angalau ungetaja parties ili tufahamu na hayo mapungufu uliyoyaona, ukizungumza hivi hatutakuelewa.Ukisoma judgements za kesi za court of appeal kuna kulipua kwa aina fulani. Awamu hii majanga kila mahali. nenda kasome kesi za 2019 zlizoamuliwa.
Ni maoni yangu.. nalinganisha na majaji wa rufaa wa mika hiyo sheria ilipoku kweli sheria inatafsiriwa vilivyo. Mnisamehe kama nimekosea kusema hivi.
ngoja nikuwekee moja...... naitafuta, ila kuna issue wameibadili kabisa kuwa eti kujenga katika unsurveyed areas unahitaji kibali! From time immemorial ni kuwa kama eneo ni unsurveyed, basi kibali cha kujenga siyo mandatory, hulipi odi ya ardhi... sasawamebadili.... nitakuwekeaJaribu kuwa specific ni kesi zipi, angalau ungetaja parties ili tufahamu na hayo mapungufu uliyoyaona, ukizungumza hivi hatutakuelewa.