MAJANGA

MAJANGA

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Ukisoma judgements za kesi za court of appeal kuna kulipua kwa aina fulani. Awamu hii majanga kila mahali. nenda kasome kesi za 2019 zlizoamuliwa.
Ni maoni yangu.. nalinganisha na majaji wa rufaa wa mika hiyo sheria ilipoku kweli sheria inatafsiriwa vilivyo. Mnisamehe kama nimekosea kusema hivi.
 
Jaribu kuwa specific ni kesi zipi, angalau ungetaja parties ili tufahamu na hayo mapungufu uliyoyaona, ukizungumza hivi hatutakuelewa.
 
ngoja nikuwekee moja...... naitafuta, ila kuna issue wameibadili kabisa kuwa eti kujenga katika unsurveyed areas unahitaji kibali! From time immemorial ni kuwa kama eneo ni unsurveyed, basi kibali cha kujenga siyo mandatory, hulipi odi ya ardhi... sasawamebadili.... nitakuwekea
 
Back
Top Bottom