Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 239
Hidaya.Huyo Dem anaitwa nani ?
kubadili dini kisa demu!
kwani lini aliwahi kuwa mkristo? huyu tangu zamani jina lake khalfan.
ukimjuwa mama yake alivyo dakika mbili mbele na bangi za huyu pfunk ampaka amejiita majani hakuna la kushangaza.
Ndio maana tunapoambiwa kabadirisha dini mimi ndio nashangaa huyu ni mpagani aliyeamuwa kuoa ndoa ya kiislamu huenda binti kwao ni siasa kali.Hapo sasa mamaake alikuwa muslim na babaake ndo mkristo alikuwa na majinq mawili paul na khalfan na hata siku mija hajawah dikika kakanyaga kanisani bora alivyoamua kuchagua dini mojawapo maana alikuwa kama mpagani.
P-funk ana mtoto mdogo anaitwa Pavin, labda huyu ndio mama yake!!
Ila watu bana, yaani wanabadili dini kisa nyama!!
Kwa hiyo tukisema amebadili dini mtu anajua ni kutoka Ukristo kwenda Uislamu na vise-vesa, kutoka upagani kwenda dini nyingine siyo kubadili dini au?Ndio maana tunapoambiwa kabadirisha dini mimi ndio nashangaa huyu ni mpagani aliyeamuwa kuoa ndoa ya kiislamu huenda binti kwao ni siasa kali.
Kwa hiyo tukisema amebadili dini mtu anajua ni kutoka Ukristo kwenda Uislamu na vise-vesa, kutoka upagani kwenda dini nyingine siyo kubadili dini au?
Siasa kali kwa kingereza wanajurikana kama radical muslim na kuhusu ndoa ni mkataba wa watu wawili mme na mke kuoana na kushare entire life.Matola, unakuwa kama punguani vile, hayo mambo ya siasa kali yanatoka wapi? Kwanza akili yako inaonyesha hujui maana ya imani na umbumbumbu ktk mambo ya ndoa.
P-funk ana mtoto mdogo anaitwa Pavin, labda huyu ndio mama yake!!
Ila watu bana, yaani wanabadili dini kisa nyama!!
Nadhani hao wanawake ndio bangi zinawasumbuwa zaidi.Pfunk bangi tu zinamsumbua
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums