Majani abadili dini afunga ndoa (picha)

Majani abadili dini afunga ndoa (picha)

Simba Mkali

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
620
Reaction score
239
majani3.pngmajani.jpgmajani4.pngmajani5.jpgmajani1.png
 
P-funk ana mtoto mdogo anaitwa Pavin, labda huyu ndio mama yake!!

Ila watu bana, yaani wanabadili dini kisa nyama!!
 
Hana iman na din yake so hata huko alikoenda yanaweza mshinda akahama tena simama na imani yako majani mungu wetu ni mmoja ila tu binadamu tunamtofautisha majina.
 
Ila si ajabu Mama ake si muslim na babaake ndo alikuwa mkristo mzungu.
 
kwani lini aliwahi kuwa mkristo? huyu tangu zamani jina lake khalfan.

ukimjuwa mama yake alivyo dakika mbili mbele na bangi za huyu pfunk ampaka amejiita majani hakuna la kushangaza.

Hapo sasa mamaake alikuwa muslim na babaake ndo mkristo alikuwa na majina mawili paul na khalfan na hata siku mija hajawah sikika kakanyaga kanisani bora alivyoamua kuchagua dini mojawapo maana alikuwa kama mpagani.
 
Hapo sasa mamaake alikuwa muslim na babaake ndo mkristo alikuwa na majinq mawili paul na khalfan na hata siku mija hajawah dikika kakanyaga kanisani bora alivyoamua kuchagua dini mojawapo maana alikuwa kama mpagani.
Ndio maana tunapoambiwa kabadirisha dini mimi ndio nashangaa huyu ni mpagani aliyeamuwa kuoa ndoa ya kiislamu huenda binti kwao ni siasa kali.
 
Matola, unakuwa kama punguani vile, hayo mambo ya siasa kali yanatoka wapi? Kwanza akili yako inaonyesha hujui maana ya imani na umbumbumbu ktk mambo ya ndoa.
 
Ndio maana tunapoambiwa kabadirisha dini mimi ndio nashangaa huyu ni mpagani aliyeamuwa kuoa ndoa ya kiislamu huenda binti kwao ni siasa kali.
Kwa hiyo tukisema amebadili dini mtu anajua ni kutoka Ukristo kwenda Uislamu na vise-vesa, kutoka upagani kwenda dini nyingine siyo kubadili dini au?
 
Kwa hiyo tukisema amebadili dini mtu anajua ni kutoka Ukristo kwenda Uislamu na vise-vesa, kutoka upagani kwenda dini nyingine siyo kubadili dini au?

upagani siyo dini, ukitoka kwenye upagani kuingia kwenye dini yoyote katika dini 50 na kitu zilizopo duniani unakuwa umejiunga, haujabadiri.

kijijini kwetu kuna watu wengi mpaka leo hawana dini na hawajaamuwa kujiunga na dini.
 
Matola, unakuwa kama punguani vile, hayo mambo ya siasa kali yanatoka wapi? Kwanza akili yako inaonyesha hujui maana ya imani na umbumbumbu ktk mambo ya ndoa.
Siasa kali kwa kingereza wanajurikana kama radical muslim na kuhusu ndoa ni mkataba wa watu wawili mme na mke kuoana na kushare entire life.

kuhusu imani hata majini na mashetani yenyewe pia ni imani yao.

je una lingine?
 
P-funk ana mtoto mdogo anaitwa Pavin, labda huyu ndio mama yake!!

Ila watu bana, yaani wanabadili dini kisa nyama!!

Hata gangstar ulegeza macho akiwekewa cotton buds

Dont under estimate the power of pussy lol!
 
Pfunk bangi tu zinamsumbua

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom