Majani haya ni Ngogwe au Biringanya?

Majani haya ni Ngogwe au Biringanya?

silver star

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
447
Reaction score
119
Kwa wataalam wa kilimo hususan mazao ya Biringanya na Ngogwe, naomba mnisaidie kutambua majani haya ni ya zao gani kati ya Biringanya au Ngogwe?

Natanguliza shukrani

20210308_181020.jpg
images (2).jpg
 

Attachments

  • images (6).jpg
    images (6).jpg
    24.5 KB · Views: 28
Mbona utafikiri Bilinganya na sio nyanya chungu
 
Biringanya yako kama hivyo ila tofauti yenyewe kwenye mistari hiyo huwa ni nyekundu
 
Biringanya ikiwa ndogo hivyo tazama shina linakua na rangi ya purple wakati ngogwe ni light green
 
Back
Top Bottom