Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Sote tulijua Majani ni OG pioneer, lakini nimeshangaa kuwa bado hata leo kwenye hiki kizazi ambacho hawana kipya wao wanacopy tu miziki ya Nigeria na south Africa, Majani ndiye ameamua kuwa mkombozi na kuonesha watu what music is all about-innovation. Nilichogundua mtu pekee wa kuiokoa bongo fleva ni Majani maana miziki yote redion ilikuwa imeshaanza kufanana tu utadhani ni nyimbo moja inaoigwa asubuhi mpaka jion.
Kwangu Mimi ngoma nazozikubali kwenye hii album ni
1. Niko bize
2. Life time
3. BBM
4. Toa tano
5. Mzee wa busara
Kwangu Mimi ngoma nazozikubali kwenye hii album ni
1. Niko bize
2. Life time
3. BBM
4. Toa tano
5. Mzee wa busara