Majani lishe ya kupunguza uzito yanapunguza kilo 15-20 kwa mwezi

Majani lishe ya kupunguza uzito yanapunguza kilo 15-20 kwa mwezi

mkuu acha kunidanganya majani yaporomoshe 15-20 hiyo sayansi ya kupungua ulijifunzia wapi? lazima ujue kwanini mtu anapata kunenepa ndo unaweza kumpunguza unene, hizi elimu za sikuhizi sijui mnajifunza toka wapi
Imetengenezwa na mwanasayansi kutoka china na wala sio mie mie ni distributor tu na imesaidia watu wengi
 
Majani lishe ya kupunguza uzito yanapunguza kilo 15-20 kwa mwezi
Haya ni majani lishe yatakayokusaidia kupunguza uzito kuanzia kilo 15 hadi 20 kwa mwezi ukitumia majani haya hauharishi na matokeo unayaona ndani ya siku 3 utapata boksi zote mbili kwa 60000(elf 60 Tu. Mawasiliano 0758464842
View attachment 960533
mkuu huogopi kutangaza sumu! kg 15 kwa mwezi ! kabla hazijafika 15 huyo atakuwa ni marehemu...kwa kuharisha na kutapika!
 
Imetengenezwa na mwanasayansi kutoka china na wala sio mie mie ni distributor tu na imesaidia watu wengi
sikatai ndugu yangu ila sikuzote dawa ipunguzayo mwili kwa haraka hivyo huacha mwili katika hali isiyokuwa ya kawaida na inafanya ngozi kulegea na mwonekano wa mtu huwa ka mzee ili awe sawa yapasa kujua yampasayo kufanya kama mazoezi kwa wingi na lishe nyingine zakuweka mwili sawa, si kila dawa iliyopo dukani nisalama na ndo maana marekani wanakataa baadhi ya dawa
 
Kuleni balanced diet na kufanya mazoezi mkonde kwa njia ya asili.
 
Hawa Eternal ni sawa na Forever Living Product. Ila tofauti ya ni kuwa hawa wao wana kituo cha upimaji magonjwa.Ila ni walewale PYRAMID SCAMMERS
 
Ukinunua hii kitu unapewa na ujumbe huu “ jitahidi unywe maji mengi sana, fanya jogging angalau dakika 20 kila siku, kula mboga za majani kwa wingi na epuka kula wanga” ili hii dawa ifanye kazi vizuri na kwa haraka.

Hivi kupungua kilo 15 kwa mwezi unadhani mchezo na rahisirahisi sawa na kupika chai ya rangi!?
 
Back
Top Bottom