Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko huku kwa siku 10 tu
Kutibu vidonda vya tumbo sidhani ila ninachojua majani ya huo mmea ni dawa tosha kabisa ta typhoid tena ni siku tatu tu kwa matumizi ya glasi mbili za hayo majani yaliyochemshwa