Majani ya kutibu vidonda vya tumbo

Majani ya kutibu vidonda vya tumbo

almandoJr

Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
23
Reaction score
17
Kulingana na andiko fulani lililoita liliezea kuhusu haya majani au mnaweza kutafta na kusoma tena maana me niliwapa ahadi ya kuyatafuta ktk mizungoko yangu nimefanyikiwa kuyaona japo ni machache kidogo kwa mwenye uhitaji twaweza wasiliana DM ataweza yasafirisha vipi yako ngara kagera na niko huku kwa siku 10 tu

20211125_112605.jpg


20211125_112527.jpg


20211125_112753.jpg
 
Mkuu tuwekee link ya huo uzi. Haya nayajua sana. Ila sijapata kufahama kama yanatibu ulcers.
 
Kutibu vidonda vya tumbo sidhani ila ninachojua majani ya huo mmea ni dawa tosha kabisa ta typhoid tena ni siku tatu tu kwa matumizi ya glasi mbili za hayo majani yaliyochemshwa
 
Hiyo ni Dawa ya homa na typhod.

Mbeya tunatumia sana kutibu tumbo.
Ila si vidonda vya tumbo.

Huo tunaita msongwa.
 
Back
Top Bottom