Kama sina so what?
Wabongo bhana mtu hakujui na hajui kitu ila anabisha kama anakujua vile
Sasa mimi ndie naekuleza hizo nguvu ninazo wewe unabisha,
Hata nikiwa sina nikisema ninazo wewe itakupunguzia au kukuongezea nini?
Haya sasa hizo nguvu hua nazitumia kufanya Teleportation,Magic illusion,Trans Galactic,
Nibiru Extraterrestrials connection na maswala mengi kama chants, Meditation pamoja na kutengeneza Matrix!
Haya sasa endelea kubisha!