Ndumba upofusha akili hata wakisoma hawatauelewa.Kuna watu hasa wanapaswa kusoma huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndumba upofusha akili hata wakisoma hawatauelewa.Kuna watu hasa wanapaswa kusoma huu uzi
Mobutu alikuwa gwiji wa ndumba Kama walivo madikteta wote,lkn pamoja na yote ikiwemo walinzi walishindwa kumuokoa asipinduliwe.
Inawezekana pia alitoka kwa style zote ,kijeshi na kindumbaMobutu ilikuwa ni vigumu kumuua, mpaka umuue kichawi kwanza
SureMi nadhani kuna umuhimu wa kupenda pesa na kuchukia madaraka, Bahkressa na Mengi walitumia busara mno kukaa mbali na siasa, wanaakili sana!
Sio bahati, alikuwa MCHAWI sanaahsante Lucas mobutu kwakunitoa tongo tongo ila jamaa alikuwa na bahati sanaa
True mkuuCha kushangaza sasa
Patrice Lumumba kafa January 17 ,1961
Laurent Kabila kafa January 16 ,2001
*Kabila na Mobutu ,wana history Fulani hivi ya kimaajabu ajabu
Tusubirie pale rwandaHio ndo heshima ya dikteta uondoka kwa aibu madarakani
Hahaha[emoji23] nawaona afu nasema HIIIINdumba upofusha akili hata wakisoma hawatauelewa.
Kuna uzi nitauleta soon juu ya maisha yake privateInawezekana pia alitoka kwa style zote ,kijeshi na kindumba
Na alikua na akili mnoSio bahati, alikuwa MCHAWI sana
HahahaTrue mkuu
Ila mobutu alikua bora kidogo kuliko kabila
Kabila alijiingiza mkenge mwenyewe
Karibu mkuuahsante Lucas mobutu kwakunitoa tongo tongo ila jamaa alikuwa na bahati sanaa
MkuuMke wake mwenyewe alitaka kumuua.
Za elimu dunia labda lkn sio za general knowledgeNa alikua na akili mno
Ulete nitachangia /kuongezea pale inapobidiKuna uzi nitauleta soon juu ya maisha yake private
Ki elimu hakufika chuo kikuuZa elimu dunia labda lkn sio za general knowledge
Alikua kibaraka ,ugomvi ukampa nafasiKi elimu hakufika chuo kikuu
Ila akili yake ilikua ni katika kukipata alichotaka
Alicheza na akili za watu mno
Mwanzoni alikua mwandishi tu wa habari baada ya kutoka jeshini.lakini ghafla akawa mkuu wa jeshi.akatumia ugomvi kati ya lumumba na kassavubu akawa rais
Inaitwa akili ya fitina kama alivofanya IDD Amini hata Hitler,unaanzia chini kwa kuwa muaminifu,mbunifu,mwenye bidii then unaaminiwa ukipata mwanya unammaliza aliyekukaribisha chumbani. sawa na zero brain anajikomba ukimsaidia akishapata anakunyea.Ki elimu hakufika chuo kikuu
Ila akili yake ilikua ni katika kukipata alichotaka
Alicheza na akili za watu mno
Mwanzoni alikua mwandishi tu wa habari baada ya kutoka jeshini.lakini ghafla akawa mkuu wa jeshi.akatumia ugomvi kati ya lumumba na kassavubu akawa rais
[emoji23] mwenyewe alisema "baada yangu mafuriko"Alikua kibaraka ,ugomvi ukampa nafasi