Majaribio ya kumuua Mobutu

Za elimu dunia labda lkn sio za general knowledge
Ki elimu hakufika chuo kikuu
Ila akili yake ilikua ni katika kukipata alichotaka
Alicheza na akili za watu mno
Mwanzoni alikua mwandishi tu wa habari baada ya kutoka jeshini.lakini ghafla akawa mkuu wa jeshi.akatumia ugomvi kati ya lumumba na kassavubu akawa rais
 
Alikua kibaraka ,ugomvi ukampa nafasi
 
Inaitwa akili ya fitina kama alivofanya IDD Amini hata Hitler,unaanzia chini kwa kuwa muaminifu,mbunifu,mwenye bidii then unaaminiwa ukipata mwanya unammaliza aliyekukaribisha chumbani. sawa na zero brain anajikomba ukimsaidia akishapata anakunyea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…