Majaribio ya kumuua Mobutu

unasema kabila alijiingiza mkenge mwenyewe.ilikuwaje?
Ilikua hivi
Kabila alikua huku TZ akawa anajuana na museveni
Museveni na kagame mwaka 1996 walipanga kumtoa mobutu lakini hawakuweza bila kua na mkongo

Hivo museveni akamtambulisha kabila kwa kagame.kabila akaend rwanda akakubaliana na kina museveni na kagame wampe jeshi na pesa ili amtoe mobutu madarakani kwa sharti kua
Kabila atairuhusu rwanda na uganda kuiba madini ya congo

Basi kabila akaingia madarakani. Akalewa madaraka akaanza kuenda kinyume na kina museveni na kagame
Akawafukuza wanajeshi wa rwanda congo na kuishutumu rwanda kuiba mali za congo

Kilichofata rwanda ikawalipa wale madogo walinzi wa kabila wenye miaka 16-20 wamuue kabila

Siku moja kabila yuko ofisini na wageni wake.kakaja kalinzi kake kakainama kumaanisha kanataka wazungumze
Kanaitwa rashid
Kakampiga risasi kabila akafa hapo hapo
 
Uko sawa kdg na hauko sawa kdg ,rekebisha kdg au weka sawa ,Mzee mtwale ( Kabila snr ) alikua ktk mapambano kitambo ,nilikua nagushi huko juu kuandika ,kwasababu maalum ,naishia hapa,usiku mwema ,hapa kolwezi ni SAA 21:36 ,baridi Kali sana
 
Uko sawa kdg na hauko sawa kdg ,rekebisha kdg au weka sawa ,Mzee mtwale ( Kabila snr ) alikua ktk mapambano kitambo ,nilikua nagushi huko juu kuandika ,kwasababu maalum ,naishia hapa,usiku mwema ,hapa kolwezi ni SAA 21:36 ,baridi Kali sana
Mkuu ilikua hivi
Kabila ameanza mapambano miaka ya 60 akashindwa kila mara
Kuna mpaka wakati aliomba msaada wa che guavara pia akashindwa

Ikambidi aondoke huko congo aje huku TZ akaishi dar lakini bado alikua na ka jeshi kadogo mno zaire misituni ambako kalidhibitiwa

Na walifahamiana na mobutu.
Nimeangalia documentary juzi. Mobutu alimwambia mwanasheria wake hivi wakiwa ufaransa

"Robert ,i know kabila he is nothing,he is just small trader around goma and elswere"

Hapo ni baada ya bwana robert kumshauri mobutu juu ya vita mwaka 1996 wakati huo mobutu hakujua ukubwa wa vita hii.

So kabila alianza harakati kitambo ila alishindwa kabisa mpaka 1996 .wakati akiwa ni mfanya biashara .watu wa kigoma wanamfahamu
 
Sasa umeweka walau kdg sawa,nakuaminia endelea ,niko na wewe Mkuu
 
Dahhhh mobutuu baba ya taifaa dingi alikua mchawi kishenz
Ukisoma kitabu a la cour de mobutu
Mpwa wake anadai .kuna siku waganga walimshauri mobutu achome kochi zake zote moto
Kisa zina majinamizi
(Ukumbuke nyingi ni za dhahabu)
 
Umeishauleta?
Nitauandika kesho asubuhi mkuu
Kwa sababu inanibidi nitoe taarifa zilizo kwa kifaransa kutoka vyombo vya habari .nizi translate kwa google translate katika kiingereza ndio nizilete humu tena kwa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…