Majaribio ya kumuua Mobutu

Mmmmh asee wanawake hawafi kweli[emoji848]
😅umri wao ulikuwa mdogo wakati ule hivo bado wana muda , Mke wa Mobutu anasema angebaki congo angeuwawa hivo kukaa kwake Morocco kumemuongezea siku za kuishi
 
[emoji28]umri wao ulikuwa mdogo wakati ule hivo bado wana muda , Mke wa Mobutu anasema angebaki congo angeuwawa hivo kukaa kwake Morocco kumemuongezea siku za kuishi
Naona hapa YouTube walikuwa wamama kabisa 30's wote si walikuwa wameolewa kabisa hawa ? Mobutu akawakwapua kwa waume zao[emoji849][emoji849][emoji849]
 
nadh
Naona hapa YouTube walikuwa wamama kabisa 30's wote si walikuwa wameolewa kabisa hawa ? Mobutu akawakwapua kwa waume zao[emoji849][emoji849][emoji849]
yah inasemwa mmoja alikuwa kaolewa, jamaa alikuwa akitaka mwanamke anamchukua tena mbele ya mumewe, kuna aliyekuwa balozi wa zaire alilalamika mke wake alichezewa na Mobutu mbele yake
 
nadh

yah inasemwa mmoja alikuwa kaolewa, jamaa alikuwa akitaka mwanamke anamchukua tena mbele ya mumewe, kuna aliyekuwa balozi wa zaire alilalamika mke wake alichezewa na Mobutu mbele yake
Basi hakuwa na staha hata kidogo!
 
chef detat sijakuelewa. Au wewe ni muongo? Savimbi hakuwahi kuungwa mkono na Russia bali USA. Edwardo Dos Santos ndiye aliyeungwa mkono na Russia ktk Vita vya Angola. Tufafanulie vizuri ilikuwaje Russia impelekee vifaa Savimbi?
 
Mkuu wangu, taarifa niliyoandika hapa ni sahihi, huwezi kuikuta magazetini au mitandao mingine kwa sababu hii ni top secret na mimi nimeipata kutoka kwa head of personal security wa Mobutu, Urusi na Marekani walikuwa Angola wote kwa interest zao na wote walim support Savimbi
ushahidi wa taarifa hii mzito zaidi ni kwamba Mobutu alitoroka na ndege ya kirusi pale Gbadolite ambayo ilitumwa kuleta silaha kwa Mobutu alafu yeye azipeleke Angola,pale uwanja wa ndege wa Gbadolite kulikuwa na ndege helkopta kama 6 ambazo zilitolewa na Urusi kama msaada kwa savimbi,hata marubadi wa hilo ndege la kivuta lililombeba Mobutu walikuwa wanajeshi wa kirusi na ilitokea vurugu kati yao na walinzi wa Mobutu maana warusi walitaka kutoroka wakakutwa wakaambiwa hakuna kuondoka mpaka mumchukue Mobutu tuondoke nae walikataa ikabidi wakabane nguo na walinzi wa Mobutu ila mwishowe warusi walikubari wakauliza sasa tunampeleka wapi ?,walinzi wa Mobutu wakajibu hata kama ni kwa Savimbi mpelekeni
unaweza ingia youtube search hili jina "major ngani" utaona interview ya huyu mlinzi wa Mobutu na ina english sub title, forward mpaka ambapo anazungumzia walivotoroka Zaire
 
Sikuwahi kujua Vita vya Angola vilikuwa kuzungumkuti namna hii!!
 
Kuna watu hasa wanapaswa kusoma huu uzi
Nae amekufa kama Mobutu alifanya kila kitu sawa na Mobutu. Kuua watu asiokubaliana nao, kujenga kwao na kuwa na kikosi kikubwa kinachomlinda, kukaa kwao muda mwingi, uwanja wa ndege, kujenga mahoteli ingali ni porini tu nk.

Amekufa akiwa na kilo mbili na hakuamini anaiacha nchibyetu maana alijiamini yeye atatawala milele .

Haya maneno mwaka 2018 alikuwa ukitamka anakuona kama unaota tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…