Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh asee wanawake hawafi kweli[emoji848]mwezi uliopita Bobi ladawa alikuwa Morocco na kosia alikuwa Ulaya, muda mwingi wanaishi Morocco na portugal,france au wanaenda kuwatembelea watoto wao Marekani
😅umri wao ulikuwa mdogo wakati ule hivo bado wana muda , Mke wa Mobutu anasema angebaki congo angeuwawa hivo kukaa kwake Morocco kumemuongezea siku za kuishiMmmmh asee wanawake hawafi kweli[emoji848]
Naona hapa YouTube walikuwa wamama kabisa 30's wote si walikuwa wameolewa kabisa hawa ? Mobutu akawakwapua kwa waume zao[emoji849][emoji849][emoji849][emoji28]umri wao ulikuwa mdogo wakati ule hivo bado wana muda , Mke wa Mobutu anasema angebaki congo angeuwawa hivo kukaa kwake Morocco kumemuongezea siku za kuishi
yah inasemwa mmoja alikuwa kaolewa, jamaa alikuwa akitaka mwanamke anamchukua tena mbele ya mumewe, kuna aliyekuwa balozi wa zaire alilalamika mke wake alichezewa na Mobutu mbele yakeNaona hapa YouTube walikuwa wamama kabisa 30's wote si walikuwa wameolewa kabisa hawa ? Mobutu akawakwapua kwa waume zao[emoji849][emoji849][emoji849]
Basi hakuwa na staha hata kidogo!nadh
yah inasemwa mmoja alikuwa kaolewa, jamaa alikuwa akitaka mwanamke anamchukua tena mbele ya mumewe, kuna aliyekuwa balozi wa zaire alilalamika mke wake alichezewa na Mobutu mbele yake
chef detat sijakuelewa. Au wewe ni muongo? Savimbi hakuwahi kuungwa mkono na Russia bali USA. Edwardo Dos Santos ndiye aliyeungwa mkono na Russia ktk Vita vya Angola. Tufafanulie vizuri ilikuwaje Russia impelekee vifaa Savimbi?Mnamo mwaka 1986 rais wa zaire marechal mobutu sese seko anaamua kuunda kikosi maalumu cha ulinzi wake binafsi kilichojulikana kama Division Spéciale Présidentielle (special presidential division/ Dsp)
Kikosi hiki cha jeshi kina wanajeshi wanao kadiriwa kufikia elfu 10, wengi wao kutoka kabila la mobutu la ngbandi
Wanajeshi hawa wanapewa mafunzo nchini israel ,pamoja na vifaa vya kisasa kabisa
Itakumbukwa kuwa kabla ya mobutu ,congo iliongozwa na rais wake wa kwanza aliyeitwa joseph kasavubu, huyu alilindwa na mwanajeshi mmoja au wawili na hakuwa na msafara bali gari moja tu mara nyingi alipokua akitembea
Wanajeshi wa DSP walilipwa vizuri mno na mara kwa mara na mobutu na aliwaamini,mara nyingi kila alipoenda kuishi kijijini kwake (badae kukawa mji) huko gbadolite alisindikizwa na wanajeshi mia tatu kwa ulinzi
MAJARIBIO YA KUMUUA MOBUTU
Ijumaa ya tarehe 16/5/1997 mobutu anusurika kufa
Wakati akiwa uwanja wa ndege wa ndiji akiwa anaondoka jiji la kinshasa mobutu yumo ndani ya ndege,dakika za mwisho ndege iruke mkuu wa usalama wa mobutu kanali motoko anapokea taarifa ya kiintelijensia kuwa pembeni ya uwanja wa ndege kwenye shamba kubwa kuna gari la jeshi aina ya jeep likiwa na ground to air missile kwa ajili ya kudungua ndege ya mobutu
Kanali motoko anamwambia rubani wa ndege ya rais abadili uelekeo wa kurusha ndege
Rubani anakataa kwa kudai upepo hauruhusu kufanya hivo, motoko anamwambia mobutu, mobutu anawaambia marubani "fanyeni anavyotaka"
Ndege inabadili uelekeo,wale wanajeshi waliokua wakimsubiri wamtungue wanahaha kukimbia karibu ndege inakorukia ili waitungue ,katika kufanya hivo wanapata ajali na kufa papo hapo,mobutu anaenda gbadolite
JARIBIO LA PILI CHATEAU DU KAWELE( kasri la kawele)
Pembeni kidogo ya mji wa gbadolite, juu kabisa ya mlima,mobutu alijenga jumba la kifahari lenye kitanda cha remote, kama mobutu hajalala kinakua kama swimming pool,akibonyeza remote maji yanaachana kitanda kinapanda juu kutoka ardhini mobutu analala
Sasa baada ya kufika hapa kawele .anakuja mwanajeshi mmoja anamuulizia mobutu getini kutoka kikosi cha DSP anadai anaujumbe kutoka kwa jenerali nzimbi kwa mobutu
Kanali motoko anakataa huyo mwanajeshi kumuona mobutu ,anamwambia "nipe ujumbe huo nitampa marechal mimi mwenyewe"
Yule mwanajeshi anakataa .inabidi akaguliwe mwili mzima haraka na kukutwa kajifunga mabomu anaulizwa ya nini ?
Anaamua afunguke anasema alitaka kujilipua ajitoe muhanga ili afe mobutu
Alitumwa na nani ? Wakuu wa kikosi cha DSP
mwanajeshi huyu aparently alipigwa sana. na alimuomba mobutu msamaha
Kilichofata sijajua ila huenda alipigwa risasi
JARIBIO LINGINE LA KUMUUA MOBUTU,MOANDA AIRPORT
Hali inakua mbaya mno (hapa nafupisha)
Msaidizi wa mlinzi mkuu wa mobutu
Major ngani yanda mokomba
Anafanya patrol (mobutu alimkataza ila yeye akaondoka)
Huko njiani anakutana na kikosi cha DSP kinarudi gbadolite huku wanaimba (mobutu msaliti,ndugu yake nzimbi amekimbilia brazaville katuacha sisi tufe,twendeni tukamkamate mobutu huko kawele)
Major ngani anarudi kawele haraka na kumuuliza boss wake
Marechal yuko wapi ? Inabidi tutoloke
Kanali motoko:emu jaribu wewe labda utaweza mi nimemwambia tukimbie anasema tumchukue mkewe na pacha wa mkewe , yeye tumuache afie hapa
Major ngani anaenda mpaka chumba cha mobutu anamkuta mobutu kavaa yale mashati yake bila vesti na viatu bila soksi
Anamwambia watoloke,mobutu anakataa anadai anataka kufia nyumbani
Major ngani anambeba mobutu mgongoni (baada ya kumuomba samahani sababu hairuhusiwi mlinzi wa rais kumshika rais)
Mobutu anabebwa mgongoni (aliumwa prostate cancer hivo hakuweza kusimama)
Huko airport major ngani aliiteka ndege ya urussi iliyokuwa imeleta vifaa vya kijeshi kwa jonas savimbi( huyu alikua ni guerrila wa angola rafiki wa mobutu)
Kwanini major ngani aiteke ndege ya jeshi la urusi akati rais hua ana ndege ?
Hili ni swali ambalo wengi mnajiuliza,ila jibu ni kuwa
Uzi uliopita nilimzungumzia kongolu mobutu,huyu alikimbilia brazzaville hivyo akamuambia baba yake "baba tumekwama huku brazzavillle"
Mobutu akatuma ndege yake ikamchukue mwanae,ilivofika huko ilikataliwa na serikali ya brazaville
Hivyo mobutu akabaki bila ndege
Ndio maana ikabidi msaidizi wa mkuu wake wa ulinzi aiteke ndege pekee pale uwanja wa ndege ili kumtorosha mobutu
Mobutu akaingizwa kwenye yale mandege makubwa ya kivita yeye na gari lake kwa sababu zile ndege hazina viti
Wakati inaruka,kikosi cha DSP kikaingia uwanja wa ndege na kumrushia mobutu mabomu na risasi
Akiwa anaumwa sana na mwenye mawazo,mobutu akamuambia daktari wake "hii sio zaire yangu tena ,sina tena cha kuifanyia nchi hii"
Mobutu aliondoka mpaka rome ambako alipokelewa na rafiki yake wa muda mrefu ,na badae akaenda morocco ambapo alipokelewa na king hassan
Mobutu alikaa huko muda mfupi akafa kwa internal bleeding
Alikufa akiwa na chini ya kilo 40 akiwa hana damu kabisa
View attachment 813495
Haya ni ya mwezi may mwaka 1997, kuna uwezekano mkubwa yapo mengi
Mkuu wangu, taarifa niliyoandika hapa ni sahihi, huwezi kuikuta magazetini au mitandao mingine kwa sababu hii ni top secret na mimi nimeipata kutoka kwa head of personal security wa Mobutu, Urusi na Marekani walikuwa Angola wote kwa interest zao na wote walim support Savimbichef detat sijakuelewa. Au wewe ni muongo? Savimbi hakuwahi kuungwa mkono na Russia bali USA. Edwardo Dos Santos ndiye aliyeungwa mkono na Russia ktk Vita vya Angola. Tufafanulie vizuri ilikuwaje Russia impelekee vifaa Savimbi?
Sikuwahi kujua Vita vya Angola vilikuwa kuzungumkuti namna hii!!Mkuu wangu, taarifa niliyoandika hapa ni sahihi, huwezi kuikuta magazetini au mitandao mingine kwa sababu hii ni top secret na mimi nimeipata kutoka kwa head of personal security wa Mobutu, Urusi na Marekani walikuwa Angola wote kwa interest zao na wote walim support Savimbi
ushahidi wa taarifa hii mzito zaidi ni kwamba Mobutu alitoroka na ndege ya kirusi pale Gbadolite ambayo ilitumwa kuleta silaha kwa Mobutu alafu yeye azipeleke Angola,pale uwanja wa ndege wa Gbadolite kulikuwa na ndege helkopta kama 6 ambazo zilitolewa na Urusi kama msaada kwa savimbi,hata marubadi wa hilo ndege la kivuta lililombeba Mobutu walikuwa wanajeshi wa kirusi na ilitokea vurugu kati yao na walinzi wa Mobutu maana warusi walitaka kutoroka wakakutwa wakaambiwa hakuna kuondoka mpaka mumchukue Mobutu tuondoke nae walikataa ikabidi wakabane nguo na walinzi wa Mobutu ila mwishowe warusi walikubari wakauliza sasa tunampeleka wapi ?,walinzi wa Mobutu wakajibu hata kama ni kwa Savimbi mpelekeni
unaweza ingia youtube search hili jina "major ngani" utaona interview ya huyu mlinzi wa Mobutu na ina english sub title, forward mpaka ambapo anazungumzia walivotoroka Zaire
Alishatangulia uliekua unamlenga[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu hasa wanapaswa kusoma huu uzi
Nae amekufa kama Mobutu alifanya kila kitu sawa na Mobutu. Kuua watu asiokubaliana nao, kujenga kwao na kuwa na kikosi kikubwa kinachomlinda, kukaa kwao muda mwingi, uwanja wa ndege, kujenga mahoteli ingali ni porini tu nk.Kuna watu hasa wanapaswa kusoma huu uzi