Majaribio ya kumuua Mobutu

Majaribio ya kumuua Mobutu

update
liutenant colonel Motoko Elabe Hilaire niliyemzungumzia kwenye uzi huu amefariki huko Ubelgiji mwezi wa nane mwaka huu
atakumbukwa kwa uaminifu wake kwa nchi yake maana alikuwa mtiifu na muaminifu kwa Rais wake mpaka dakika za mwisho ambapo wanajeshi wenzie walipokea pesa kumgeuka Mobutu, tofauti na waafrica wengi huyu mzee aliitwa afanye kazi na serikali zilizofuatia baada ya mobutu ila wanasema alikataa vyeo hivo
kafariki akiwa na umri wa miaka

IMG_2650.JPG

IMG_2648.JPG
 
View attachment 2045486

View attachment 2045488
Alikua bwana mdogo ila alifanya mambo makubwa sio mchezo imagine unamtorosha rais ukiwa jeshi la mtu Mmoja daaa ila huyu jamaa amepiga Bata maisha yake yote maana Mobutu alikua na mapesa mengi Sana huko nje lazima Kuna baadhi ya maburungutu alikabidhiwa na Ndio maana mara kadhaa alipoitwa na Serikali ya Kongo Drc aligoma maana hakua na dhiki Wala njaa!
Namkubali sababu hakua snitch kama wenzie ambao usikute baadae wakaja kua maskini
Mbwa baada ya Serikali MPYA kuingia madarakani

R.I.P Commander!
 
Nimeona video za Mobutu akiwa huko Israel alikowapeleka wanajeshi wake kwny mafunzo ya paratroopers na ye mwenyewe akawa ana practice,nimeishia kucheka tu.
 
Alikua bwana mdogo ila alifanya mambo makubwa sio mchezo imagine unamtorosha rais ukiwa jeshi la mtu Mmoja daaa ila huyu jamaa amepiga Bata maisha yake yote maana Mobutu alikua na mapesa mengi Sana huko nje lazima Kuna baadhi ya maburungutu alikabidhiwa na Ndio maana mara kadhaa alipoitwa na Serikali ya Kongo Drc aligoma maana hakua na dhiki Wala njaa!
Namkubali sababu hakua snitch kama wenzie ambao usikute baadae wakaja kua maskini
Mbwa baada ya Serikali MPYA kuingia madarakani

R.I.P Commander!
jamaa ameacha Legacy ya kibabe sana, nilisoma mahali anasema wakiwa Morocco Mobutu aliwambia watu wote watoke nje abaki na jamaa tu chumbani hadi mke wa Mobutu alitoka
kuna siri anasema alipewa na Mobutu kwenye mazungumzo yao hayo,baada ya hapo aliondoka ila Mobutu alikuwa akimpigia simu
 
hatari usikute aliambiwa Kule Gabdolite Kuna handaki la Siri Lina Almas gunia mbili,dhahabu Tani kumi na baada ya vugu vugu kupoa afanye umafia akazibebe ni zawadi zake maana Mobutu alikua hazina nyingi Sana yule mwamba na Ndio maana jamaa hata hakusumbuka maisha yake yote Zaidi ya kula Bata na biashara zake huko ubelgiji!
😁😁😁😁
 
unajua ni kweli Mobutu alikuwa naNuclear bunker kijijini kwake ya kubeba watu kama mia tatu hivi,ila nasikia sasa haiingiliki maana mlango ulilipuliwa
pia nyumba yake ilikua na secret access ya kwenda kwenye hilo handaki la nyuklia ambapo aliweza kusafiri huko chini ya ardhi mpaka sehemu inaitwa Ubangi ambapo kuna kambi ya jeshi
siku anatoroka alisema nyumba yake ilipuriwe ila wanajeshi hakufanya hivo,yaelekea kulikuwa na siri
 
duu aiseee inawezekana aiseee maana mpaka Gabdolite akapaita Versailles of the Jungle sio mchezo inawezekana Kuna bunkers za Siri anazijua mwenyewe!
 
jamaa ameacha Legacy ya kibabe sana, nilisoma mahali anasema wakiwa Morocco Mobutu aliwambia watu wote watoke nje abaki na jamaa tu chumbani hadi mke wa Mobutu alitoka
kuna siri anasema alipewa na Mobutu kwenye mazungumzo yao hayo,baada ya hapo aliondoka ila Mobutu alikuwa akimpigia simu
Nini maana ya motoko?
 
Hivi wake zake Mobutu wapo hai wale mapacha?
mwezi uliopita Bobi ladawa alikuwa Morocco na kosia alikuwa Ulaya, muda mwingi wanaishi Morocco na portugal,france au wanaenda kuwatembelea watoto wao Marekani
 
Back
Top Bottom