Majaribio ya Makombora Korea Kaskazini

Majaribio ya Makombora Korea Kaskazini

Niwekee hapa link ya habari yoyote inayoelezea China kama China au Russia kama Russia inaitaka North Korea kuachana na silaha za nyuklia.

Au weka link ya habari yoyote inayoelezea kuwa China au Russia wanaogopa majaribio ya silaha za nyuklia yafanywayo na North Korea/ au North Korea kuwa na nyuklia.

Ajabu ni kuwa wa mbali (US) pamoja na vibrant wake ndio wanaogopa na kubweka zaidi, wakati waliokaribu na North Korea (Russia na China) wanaona kawaida tu.
Mkuu achana nae Huyu haelewi hiz Mambo .......hajui kuwa China na Russia ndio zna msuport Kim ....

Nchi znazompinga Kim ni zile .... puppet wa USA Kama south Korea, Japan...
 
Mkuu achana nae Huyu haelewi hiz Mambo .......hajui kuwa China na Russia ndio zna msuport Kim ....

Nchi znazompinga Kim ni zile .... puppet wa USA Kama south Korea, Japan...
Hoja sio kumsapoti! Hoja ni; wanamsapoti kwenye masuala gani?

Kwenye suala la silaha za nyuklia, hakuna anayesapoti kati yao. Wote wanasapoti denuclearization of North Korea. Na hii ni kulingana na kauli na maazimio rasmi ya jumuiya ya kimataifa.
 
Mkuu.......kuhusu kusupport kwenye jumuiya ya kimataifa isikupe shida kwasababu hawawez kupingana na maazimio ya UN ..........sizan Kama umewahi kuona China na Russia wanasimama directly kupinga nukes za Kim Kama anavyofanya USA

Kama ulikuwa hujui CHINA ni supplier mkubwa wa coal kwa Korea kaskazin ....ingawa wamewekewa vikwazo na UN
 
Hana jipya USA alishamwambia Kama unaweza rusha hata jiwe kwenye maslahi yoyote ya USA alafu ndo utajua kwanini maharage mboga au futari[emoji3166]
Wala wao hawana hizo hulka za mabeberu za kuvamia maslah ya watu na kukalia nchi za watu kimabavu sawa dogo..

wao wanatengeneza makombora kwa ajili ya kujilinda na mabeberu,, Korea hawana shida na taifa lolote zaid tu ya kujidhatiti kijeshi ili kulinda taifa dhidi ya wahuni.. kwahyo USA ajaribu tu kuivamia Korea kasakazin kama alivofanya kwa mataifa mengine madogo aone kitachotokea duniani.. wale Korea sio waarabu au waafrica wale ni wazalendo wa kweli kwa nchi yao
 
Umeomba link, umepewa link. Nenda kwanza kasome!

Story za kale?! Kwani mpango wao wa nyuklia umeanza leo? Soma kwanza ulichokiomba, ndio urudi kwenye mjadala!
Niwekee hapa link ya habari yoyote inayoelezea China kama China au Russia kama Russia inaitaka North Korea kuachana na silaha za nyuklia.

Au weka link ya habari yoyote inayoelezea kuwa China au Russia wanaogopa majaribio ya silaha za nyuklia yafanywayo na North Korea/ au North Korea kuwa na nyuklia.

Ajabu ni kuwa wa mbali (US) pamoja na vibaraka wake ndio wanaogopa na kubweka zaidi, wakati waliokaribu na North Korea (Russia na China) wanaona kawaida tu.
 
Hana jipya USA alishamwambia Kama unaweza rusha hata jiwe kwenye maslahi yoyote ya USA alafu ndo utajua kwanini maharage mboga au futari[emoji3166]
[emoji3][emoji3][emoji3] nayeye US kama anaweza arushe kwenye maslahi ya NORTH ndio atajua kama yeye simba wakuchora au paka
 
Mkuu.......kuhusu kusupport kwenye jumuiya ya kimataifa isikupe shida kwasababu hawawez kupingana na maazimio ya UN ..........sizan Kama umewahi kuona China na Russia wanasimama directly kupinga nukes za Kim Kama anavyofanya USA

Kama ulikuwa hujui CHINA ni supplier mkubwa wa coal kwa Korea kaskazin ....ingawa wamewekewa vikwazo na UN
Sio kwamba hawawezi kupingana na maazimio ya UNSC. China na Urusi ni wanachama wa kudumu wa baraza hilo na wana kura za veto za kuwawezesha kuliathiri azimio lolote muhimu.

Unasema kwamba USA wanasimama directly kupinga nukes za Kim; ni kweli!

Lakini, hata China na Urusi zinapinga vilevile, isitoshe, katika vyombo maalumu vya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya kimataifa. Kama ni kupinga nukes za Korea Kaskazini, wote hao wanapinga. Cha tofauti hapo ni approach tu ya namna ya kulipinga suala hilo.
 
Niwekee hapa link ya habari yoyote inayoelezea China kama China au Russia kama Russia inaitaka North Korea kuachana na silaha za nyuklia.

Au weka link ya habari yoyote inayoelezea kuwa China au Russia wanaogopa majaribio ya silaha za nyuklia yafanywayo na North Korea/ au North Korea kuwa na nyuklia.

Ajabu ni kuwa wa mbali (US) pamoja na vibaraka wake ndio wanaogopa na kubweka zaidi, wakati waliokaribu na North Korea (Russia na China) wanaona kawaida tu.
Unajua kusoma kiingereza? Maana nimekupa link awali ila bado unataka link nyingine! Unataka kuelewa ama unataka kusumbua watu tu?

CHINA

China's role in denuclearization of Korean Peninsula

Katika hiyo link, kuna mahali panaelezea msimamo wa China juu ya majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini. Panasema:

China's stand from DPRK's nuclear tests

Pyongyang's first nuclear tests took place on October 9, 2006, and resulted in an explosion equivalent to about 1,000 tonnes of TNT. The move triggered swift international condemnation.

On the same day, China stated it "firmly opposes" DPRK's acts, slamming the test as "flagrant and brazen" and calling Pyongyang to honor the denuclearization commitment it made during the six-party talks.

The DPRK carried out another test in May 2009 and four years later - after Kim Jong Un came to power - a far larger experiment took place. Experts believed the test was around seven times bigger than the country's first.

Then Chinese Foreign Minister Yang Jiechi swiftly contacted the DPRK ambassador, expressing China's strong opposition to the move.

Two more tests followed in 2016, with one reaching "spectacular success," according to Kim, and the other triggering a powerful 5.3-magnitude earthquake.

The Chinese government condemned both acts, urging the DPRK side to immediately halt any activities that might worsen the situation on the Korean Peninsula.

URUSI

Kremlin concerned over North Korea's new missile launch

Katika hiyo link, kuna mahali panaeleza:

Russia is concerned about North Korea's new missile launches, which may lead to increased tensions in the region and urges all parties to show restraint, Russian Presidential Spokesman, Dmitry Peskov, told reporters on Monday.

"Of course, we are profoundly concerned. These actions lead to further escalation of tensions in the region. In this situation, Moscow traditionally calls on all parties to show restraint. Russia will exchange views with all parties concerned," he said, commenting on media reports saying that Tokyo is planning to discuss the situation with Moscow.

N.B. Hizo links hapo ni kutoka TASS ambalo ni shirika la habari la Urusi, pamoja na CGTN ambayo ni media ya kimataifa inayomilikiwa na serikali ya China.
 
Naam nimeziona, safari hii umeweza kuleta nilichokutaka ulete.

Btw, tone anayotumia China na Russia (ktk articles ulizoweka) ni tofauti sana na ile itumiwayo na US na vibaraka wake. Na ndio maana hakuna uadui wowote kati ya NK na China/Russia
OK!

Hilo suala la utofauti wa tone ni mjadala tofauti. Issue iliyopo mezani ni kuwa, nchi zote hizo hazikubaliani na mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini kama ambavyo nilisema mwanzoni.
 
Back
Top Bottom