Majaribio ya Mifumo ya SGR, Wananchi wanaokaa karibu na reli wapewa tahadhari

Majaribio ya Mifumo ya SGR, Wananchi wanaokaa karibu na reli wapewa tahadhari

Pamoja na kusambazwa kwa elimu hiyo lakini kutatokea Wapuuzi ambao watajaribu kuharibu miundombinu kwa dhumuni la kuiba baadhi ya vifaa
 
kwa bongo mpaka kama wanne hivi wanaswe kweny umeme ndo wataelewa.

Kuna wengine wakaidi sana .

Angalia kama huyu bodaboda👇
 
Attachments

  • 340169517_1393025571550193_3948110613068675554_n.mp4
    715.4 KB
Wamasai pale kihonda wao ndo hulala kabisa kwenye njia yake wanatamani kugonga
Wamasai ni wajanja,kuna kisa kimoja nliskia way back,mmasai alijisahau akapumzika kwenye maungio ya reli,Sasa wakati treni inajiandaa kuondoka maungio ya reli yakabana kama ilivyodesturi,bahati mbaya mmasai akawa kabanwa Tako,alichofanya akachukua sime akalikata akasevu.
FUNZO:Masai Wana akili usiwachukulie poa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kipande cha tako kikabaki sio
 
Back
Top Bottom