Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,327
walikaa mbaliHivi hilo jaribio lishafanyika? Maana nimefuatilia huu uzi hadi mwisho na sijaona mrejesho.
Ama kila mmoja aliamua kukaa mbali? Ukisikia neno "lolote laweza tokea" yabidi ukae mbali sana.
Wakitangaza wanakata hiyo ni routine maintenance shida iko wapi?
Nice Article. This is the first time I am reading BBC swahili. I will be reading it more regularly in future.Msome waziri wako anakiri tatizo lenu kubwa mlikua mnapenda kuficha ukweli kuhusu changamoto kubwa la umeme kwenu linalosababishwa na siasa zenu chafu kipindi cha mwendazke Namna siasa zinavyochangia matatizo ya umeme Tanzania - BBC News Swahili
Ingekuwa siyo ya umeme basi ujue tungekuwa tayari tunaitumia siku nyingi .....usifikiri reli ya umeme ni sawa saws na hiyo yenu ya kutsndika vyuma tu tena bila ya kuvichomea ,hii ya tz ni Reli ya ukweli 1) imechomewa yote 2) inatumia umemeDuh! Ina maana mpaka leo hamjaanza kutumia hicho kipande cha Dar-Moro, ndio mnaandaa kufanya majaribio? Huo mradi mumeiburuza kwa kweli, anyway hongereni.
Mkijibu lile swali na ukosefu wa fuel Kenya ulisimamishwa treni au la? Ni side upande wa Nyang'aulandNice Article. This is the first time I am reading BBC swahili. I will be reading it more regularly in future.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa Tangazo kwamba, tarehe 27-04-2022 Kuanzia mda wa saa nne Asubuhi litaanza MAJARIBIO ya TRENI ya Umeme nchini Tanzania kwa Kipande Cha Kwanza (Dar-Moro) chenye urefu wa 205km.
Majaribio hayo yataanza kwa kujaribu njia ya Umeme wa 25kV kwenye njia nzima ya Reli hiyo. TRC imewataka wananchi wote wa Dar, Moro, na Pwani kuwa makini wakati wa majaribio hayo kwani lolote lile linaweza kutokea.
Majaribio hayo yatafanyika kwa kutumia kichwa Cha TRENI ya Umeme cha Mkandarasi ambacho kiliwasili nchini Mwezi Machi mwaka huu. Majaribio hayo yatakuwa Mubashara TBC.
Ewe Mtanzania na Mzalendo wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, unakaribishwa katika kushiriki uzinduzi huu wa Aina yake katika Historia ya Afrika Mashariki.
Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika,Amen.
Ingekuwa siyo ya umeme basi ujue tungekuwa tayari tunaitumia siku nyingi .....usifikiri reli ya umeme ni sawa saws na hiyo yenu ya kutsndika vyuma tu tena bila ya kuvichomea ,hii ya tz ni Reli ya ukweli 1) imechomewa yote 2) inatumia umeme
The East African Wanapenda kuandika habari za kuzusha kuichafua Tanzania... Huyo Onyango anatumika!Naona mumesogesha hadi 2024 eti msubiri kukamilisha bwawa, anyway kila la heri ipo siku mtaonja raha ya SGR kama ambavyo tumekua tukiserereka miaka kadha sasa
Power dam delays Tanzania electric train launch
The East African Wanapenda kuandika habari za kuzusha kuichafua Tanzania... Huyo Onyango anatumika!
Shida yenu mmezoea media houses za kurudiarudia Rais akizindua miradi na jinsi serikali inavyofanya kazi. Hili la media kucriticize serikali na kuangazia mapungufu yaliyopo nchi hamjazoea ndio maana kila mara mnashinda mkisema media za Kenya zinaichafulia Tanzania jina. Huku Kenya kinachofanya tuwe na uchumi kubwa zaidi hili eneo licha ya kuwa na least resources ni hili la kukubali serikali kukosolewa na mapungufu kuangaziwa.The East African Wanapenda kuandika habari za kuzusha kuichafua Tanzania... Huyo Onyango anatumika!