Majaribio ya Reli ya Kisasa (SGR) Tanzania

Majaribio ya Reli ya Kisasa (SGR) Tanzania

Hivi hilo jaribio lishafanyika? Maana nimefuatilia huu uzi hadi mwisho na sijaona mrejesho.
Ama kila mmoja aliamua kukaa mbali? Ukisikia neno "lolote laweza tokea" yabidi ukae mbali sana.
walikaa mbali
 
Lolote Laweza Kutokea Mbona Tunatishana Bure Tu
 
Duh! Ina maana mpaka leo hamjaanza kutumia hicho kipande cha Dar-Moro, ndio mnaandaa kufanya majaribio? Huo mradi mumeiburuza kwa kweli, anyway hongereni.
Ingekuwa siyo ya umeme basi ujue tungekuwa tayari tunaitumia siku nyingi .....usifikiri reli ya umeme ni sawa saws na hiyo yenu ya kutsndika vyuma tu tena bila ya kuvichomea ,hii ya tz ni Reli ya ukweli 1) imechomewa yote 2) inatumia umeme
 
Nice Article. This is the first time I am reading BBC swahili. I will be reading it more regularly in future.
Mkijibu lile swali na ukosefu wa fuel Kenya ulisimamishwa treni au la? Ni side upande wa Nyang'auland
 
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa Tangazo kwamba, tarehe 27-04-2022 Kuanzia mda wa saa nne Asubuhi litaanza MAJARIBIO ya TRENI ya Umeme nchini Tanzania kwa Kipande Cha Kwanza (Dar-Moro) chenye urefu wa 205km.

Majaribio hayo yataanza kwa kujaribu njia ya Umeme wa 25kV kwenye njia nzima ya Reli hiyo. TRC imewataka wananchi wote wa Dar, Moro, na Pwani kuwa makini wakati wa majaribio hayo kwani lolote lile linaweza kutokea.

Majaribio hayo yatafanyika kwa kutumia kichwa Cha TRENI ya Umeme cha Mkandarasi ambacho kiliwasili nchini Mwezi Machi mwaka huu. Majaribio hayo yatakuwa Mubashara TBC.

Ewe Mtanzania na Mzalendo wa Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla, unakaribishwa katika kushiriki uzinduzi huu wa Aina yake katika Historia ya Afrika Mashariki.

Mungu Ibariki Tanzania,Mungu Ibariki Afrika,Amen.

Mbona mumeukimbia uzi wenu, leo mwezi Mei, tupe mrejesho.
 
Ingekuwa siyo ya umeme basi ujue tungekuwa tayari tunaitumia siku nyingi .....usifikiri reli ya umeme ni sawa saws na hiyo yenu ya kutsndika vyuma tu tena bila ya kuvichomea ,hii ya tz ni Reli ya ukweli 1) imechomewa yote 2) inatumia umeme

Tatizo lenu maneno mengi ila tunaowajua mlivyo wazembe huwa hamtuumizi akili, uzi mumeukimbia...
 
The East African Wanapenda kuandika habari za kuzusha kuichafua Tanzania... Huyo Onyango anatumika!

Poleni sana kwa muandishi wa habari bwana Onyango kutumika kuwacheleweshea SGR ambyo ilipaswa muanze kuitumia miaka kadhaa iliyopita, leo bado anawachelewesha sana jamaa.
 
The East African Wanapenda kuandika habari za kuzusha kuichafua Tanzania... Huyo Onyango anatumika!
Shida yenu mmezoea media houses za kurudiarudia Rais akizindua miradi na jinsi serikali inavyofanya kazi. Hili la media kucriticize serikali na kuangazia mapungufu yaliyopo nchi hamjazoea ndio maana kila mara mnashinda mkisema media za Kenya zinaichafulia Tanzania jina. Huku Kenya kinachofanya tuwe na uchumi kubwa zaidi hili eneo licha ya kuwa na least resources ni hili la kukubali serikali kukosolewa na mapungufu kuangaziwa.
 
Back
Top Bottom