Tanzania Railways Corp
JF-Expert Member
- Mar 23, 2018
- 251
- 595
Bure au?
Kwanini nyie wanawake mnapenda vitu vya Bure?Bure au?
Kwa sbb tangazo lake halijajitosheleza, nilichoandika hakimuhusu mwanamkeKwanini wanawake mnapenda VITU vya Bure?
Mtanipitia Kibaha 😁Njoo twendezetu mji kasoro bahari...
Mtanipitia Kibaha 😁
HahahaaaNjoo twendezetu mji kasoro bahari...
Kwa umeme upi
Kwani Kuna sehemu wamealika watu?Bure au?
Kwa sababu walipewa bure.Kwanini wanawake mnapenda VITU vya Bure?
tatizo ni VIWANGO VYA NAULI! Dar Moro ilitakiwa iwe sawa na Bus ili watu wawe wanachagua wenyewe nyie mkaweka 23,000 kama sio.kuhujumu mama ni nini?! pili biashara hii ni biashara endelevu sio ya kutafta faida mwaka.mmoja hii ni SERVICE hivyo majibu yake yawe kama daraja la kigamboni ambalo bei ni sawa na pantoni! tuache laana kwenye kodi za watanzaniaDar es Salaam hadi Morogoro, Februari 26, 2024.View attachment 2915995
Kama uko kibaha tukukute pale soga,Mtanipitia Kibaha [emoji16]
Si unaona wanatutangazia?Kwani Kuna sehemu wamealika watu?
Wamesema saa 4 asubuhi. Unatakaa nikae station mpk nizimie?Kama uko kibaha tukukute pale soga,
NOTE
TRENI ITAANZA SAFARI STATION SAA MOJA KAMILI KISHA ITASIMAMA KITUO CHA PUGU SAA MOJA NA DAKIKA 25, SOGA ITAFIKA SAA MOJA NA 40
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app