Ndio ingefanyika kwani kipi cha ajabu? Ipo kwenye mpango wa taifa wa miaka 5 na sio hiyo tu ndio maana JPM naye alikua tuna bomba la gesi, maji ya Victoria yamefika hadi Tabora, Lami mikoa yote, Shule kila kata, upanuzi wa Airport n.k So hakuna Rais ambaye hana miradi aliyofanya sema ushamba wenu na elimu ndogo kudhani JPM ndio muanzilishi na ndio wa mwisho kuifanya.
Nyie watu wa JPM hamjitambui kabisa. Kipindi JPM anakopa kwa ajili ya SGR mlikua mnajitetea kwamba kukopa sio tatizo cha msingi unakopa unafanya nini!! Sasa Mama anakopa amalizie bwawa, amalizie SGR, ajenge vituo vya afya nchi nzima n.k ila kelele!! Ambacho hujui deni la marekani ni 100%+ ya pato lao la taifa yaani deni la marekani ni zaidi ya pato lao. Ila mbona haijaporomoka kiuchumi?
Elimu ni muhimu sana kwa nyie warundi