Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

"Tren ya Samia inayodaiwa kuwa ni ya umeme imetoka Dar saa tatu kamili asubuhi imefika Morogoro saa nane na dakika tano mchana yani imetumia masaa matano kwa km 190. Maana yake hii tren ya Escape From Sobibor ilikuwa inatembea kilomita 38 kwa saa, inshot hii ni baiskel ya mkaa."ameandika mdude huko twita.
View attachment 2917168
Inadaiwa, hawa ndio wanasiasa wajao .. pathetic
 
Hii hbr ya kusema "imetoka dar saa tatu asubuhi nakufk moro saa14:05 pm n kweli
 
Unaanzaje kumsikiliza mvuta bangi kama Mdude Nyagali? Huyo bangi ilishakaa kichwani na kuendelea kumletea madhara kichwani mwake. Treni isingeweza kwenda mwendo wake mkali kwa sababu bado hakujafanyika maandalizi ya kutosha maeneo mbalimbali ya vivuko vya binadamu,wanyama pamoja magari.kwa hiyo ni lazima uende taratibu kwa tahadhari kubwa.
Pumbavu mmezoe uongo uongo peleka ukenge huko mnafiki mkubwa wewe
 
Utakuwa wewe ndiye unaendekeza hiyo kauli coz hadi kuileta hapa ni tayari umeonesha vile ulivyo.

Mipango yote ya maendeleo ya nchi inatokana na wasimamizi wa serikali ambao ni chama cha mapinduzi akiwemo mwenyekiti wake au wenyeviti waliopita.

Hakuna wa kutoka katika mafanikio au kubolongo kwa taifa.
Soma nyuzi zote za SGR na Bwawa la Nyerere!! Pro-JPM wote wanalazimisha sifa ziende kwa JPM. Cha ajabu kipindi bwawa linasuasua walisema Mama anahujumu, sijui fisadi, sijui hakuna analoweza. Ila hatimae kafanikisha mnaona aibu mnataka sifa ziende kwa JPM.

Acheni unafiki nyie CCM
 
Haikuwa kwenye top speed, na kulikuwa na misosi kama vile safari ambavyo zitakuwa...

Lakini bado hizi coaches sio kama zile treni za Ulaya ambazo huwa na leather coaches, ila si mbaya...
Nashukuru kwa taarifa mkuu!
Wajanja kweli jamaa. Wamewapa msosi na kilaji ili mjisahau msidodose sana!
 
Soma nyuzi zote za SGR na Bwawa la Nyerere!! Pro-JPM wote wanalazimisha sifa ziende kwa JPM. Cha ajabu kipindi bwawa linasuasua walisema Mama anahujumu, sijui fisadi, sijui hakuna analoweza. Ila hatimae kafanikisha mnaona aibu mnataka sifa ziende kwa JPM.
Acheni unafiki nyie CCM
Camaraderie soma hii; Pro-JPM hatuna haja na kumoa sifa jeshi la mtu mmoja bali ile tabia yenu ya kuzindua na kushindwa kuwataja wahasisi ndiyo mbaya.

Kama kuna mtu amesema Bimkubwa kachemsha basi huyo ni mwanaccm aliyetumwa na lile genge la kina 2025!.
 
Treni isingeweza kwenda mwendo wake mkali kwa sababu bado hakujafanyika maandalizi ya kutosha maeneo mbalimbali ya vivuko vya binadamu,wanyama pamoja magari.kwa hiyo ni lazima uende taratibu kwa tahadhari kubwa.

Acha uongo wewe...

Test # ni mwendo iliyoenda leo...

Tests nyingine zitafanyika huku wakiongeza speed katika stages tofauti na mabehewa zaidi...
 
"Tren ya Samia inayodaiwa kuwa ni ya umeme imetoka Dar saa tatu kamili asubuhi imefika Morogoro saa nane na dakika tano mchana yani imetumia masaa matano kwa km 190. Maana yake hii tren ya Escape From Sobibor ilikuwa inatembea kilomita 38 kwa saa, inshot hii ni baiskel ya mkaa."ameandika mdude huko twita.
View attachment 2917168

this's utterly wrong and ridiculous...
 
BUS Travel time ni : 3 hours and 33 minutes. Tofauti si kubwa au wasemaje

Si kubwa sana kwa sasa kama muda wa basi uliotaja upo sahihi lakini treni inaweza ikashusha muda zaidi ya huo wa 2:20 kurudi 2hrs, 1:40hrs hadi huo wanaotarajia wa 1:30hrs...

By the way hilo basi linalotumia 3:33 ni yale yanayosafiri usiku wa manane au hata yale yanayosafiri mchana?
 
Treni yetu inaweza kutembea kutoka Dar_ Moro kwa dakika 90
TULIAMUA KUTEMBEA MDO MDO KUWAENZI WATANZANIA WENZETU WALOPOTEZA MAISHA ARUSHA
 
Si kubwa sana kwa sasa kama muda wa basi uliotaja upo sahihi lakini treni inaweza ikashusha muda zaidi ya huo wa 2:20 kurudi 2hrs, 1:40hrs hadi huo wanaotarajia wa 1:30hrs...

By the way hilo basi linalotumia 3:33 ni yale yanayosafiri usiku wa manane au hata yale yanayosafiri mchana?
Uko sahihi kabisa........lakini tulitegemea speed kama zile za ulaya. bahati nzuri tumefika huko tumeona zinavyokimbia. sasa kwanini walete haya ya 'kizamani". all in all, tumeanza ingawa hatukupashwa kuanza hivi maana we are not inventing the wheel, just to import the already certified trains in terms of speed and safety....
 
Back
Top Bottom