Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

Majaribio ya treni ya SGR kufanyika Februari 26, 2024

binafsi moro wangeweka 25,000 anayepanda apande asiyepanda asubiri basi. dodoma wangeweka 50,000 anayepanda apande, asiyepanda aondoke hapa, n.k
Teah sababu option nyengine zipo,huwezi lalamika service mpya na ya uhakika kua na bei juu. Imagine kama treni inatumia masaa 3 kamili kufika moro,pia nafasi kubwa,pia kuna vyoo na mgahawa kwanini usilipie zaidi.
 
FB_IMG_1708952924358.jpg
FB_IMG_1708952931667.jpg

FB_IMG_1708952921047.jpg

Kama wahudumu wenyewe ndio hawa, bora niendelee kupanda ABC tu au KIMOTCO.
 
SGR inalishwa na gridi ya taifa kutoka sources zote, ukiona haina umeme ujue Tanzania nzima haina umeme...Kidatu, Mtera, Ubungo, Kinyerezi I&II, Hale, Nyumba ya Mungu, JNHP, Tegeta n.k...
Hale na New Pangani kitu ni hicho hicho?
 
Watu wana roho ngumu sana, yaani ufanyiwe majaribio na hawa hawa Watz ambao kuna mwaka Daktari alipasua kichwa badala ya mguu 🤔🤔🤔🤔

Trials za umeme, communication lines, njia yenyewe, EMU kutembea yenyewe bila mabehewa zimeshafanywa sana mzee...

Hii ya leo ilikuwa ni real time simulation ya safari kama ikiwa na abiria kwani kulikuwa na wahudumu ndani ya treni, vituoni na huduma zote zinazotakiwa kufanikisha safari n.k...
 
tatizo ni VIWANGO VYA NAULI! Dar Moro ilitakiwa iwe sawa na Bus ili watu wawe wanachagua wenyewe nyie mkaweka 23,000 kama sio.kuhujumu mama ni nini?! pili biashara hii ni biashara endelevu sio ya kutafta faida mwaka.mmoja hii ni SERVICE hivyo majibu yake yawe kama daraja la kigamboni ambalo bei ni sawa na pantoni! tuache laana kwenye kodi za watanzania
Hapo mama yako anaingiaje? Yaani unazungumzia jambo la kitaifa unamhusisha mama yako kuwa anahujumiwa? Huo si wendawazimu. Kama nyie mnaona ni ghali tutapanda sisi. Rais amekubaliana na hii bei. Wewe na mama yako mjipange.
 
Teah sababu option nyengine zipo,huwezi lalamika service mpya na ya uhakika kua na bei juu. Imagine kama treni inatumia masaa 3 kamili kufika moro,pia nafasi kubwa,pia kuna vyoo na mgahawa kwanini usilipie zaidi.
na kuna option ya kupanda mabasi ukitaka, wacha waweke bei reasonable ili mradi ujiendeshe sio waweke bei ya kichovu halafu washindwe kulipa mishahara na maboresho unakuta mradi unakuwa kama mwendokasi yenu hiyo. tujifunze kwa nchi za wenzetu. hawatakiwi kutoa msaada na hiyo haitakiwi kuwa huduma, ni biashara huduma.
 
Back
Top Bottom