Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hivi kweli kulipa 23,000 dar moro unaona hela kubwa? wakati izo mkienda bar mnabwia bia zote kwa siku moja.tatizo ni VIWANGO VYA NAULI! Dar Moro ilitakiwa iwe sawa na Bus ili watu wawe wanachagua wenyewe nyie mkaweka 23,000 kama sio.kuhujumu mama ni nini?! pili biashara hii ni biashara endelevu sio ya kutafta faida mwaka.mmoja hii ni SERVICE hivyo majibu yake yawe kama daraja la kigamboni ambalo bei ni sawa na pantoni! tuache laana kwenye kodi za watanzania